Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,523
- 41,035
i concour with u Abdulahim....... mi nafikiri watu wanamuita mkwere sio kwa sababu wanataka kukashifu kabila ni swala la jokes tu mbona mrema anaitwa mzee wa kiraracha. na pinda mtoto wa mkulima ww mtoa hoja ndio unataka kuingiwa ukabila humu, anapokuwa reffered as mkwere hatumsemi kwa kabila lake ila kwa mudu yake... acha kuleta hoja dhaifu we shaycas.... kumbuka its better u keep u r mouth zipped and let ppl have a doubt if u r a fool rather than open up and talk just remove all doubt that you truly a fool
Sahihi kabisa. Mwalimu Nyerere katika moja ya hotuba zake alipokuwa akiongelea juu ya kauli yake aliyoitoa Umoja wa Mataifa kuwa Watanzania wanataka uhuru aliwahi kusema, 'Niliwaambia kuwa Wamatumbi wanataka nchi yao', wamatumbi wakiwa kabila mojaq kati ya makabila mengi ya Tanzania. Si kila linapotajwa kabila ni ukabila au kila inapotajwa dini ni udini.