Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu.
Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga taifa letu je miaka ijayo Tanzania yetu itakuwa ya hali gani kama tukishindwa kutengeneza mifumo imara katika kuzuia mianya ya ubadilifu wa rasilimali zetu, kuandaa kizazi kitakachoenda na mabadiliko ya utandawazi kupitia Taasisi muhimu kama hii.
Chombo hiki kipewe mamlaka makubwa zaidi ya kulisaidia Taifa kama ilivyo kwa taasisi zenye mfanano huu kwa nchi nyingine jirani na zile zilizoendelea.
Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni