Tulia.... Vuta Taswira...

Fuata nyuki ule asali! Hahahaha......! Mi nahitaji furaha ili niweze kuridhika aisee.

Kipipi.... haya bana... nice one...lol... Unaweza nidokeza hayo mengine ambayo number iko chini??

Weee ADii ni mchokozi sana,

Watu tumejipinda na kukueleza wish zetu...halafu hutaki kuziamini...

Unataka nikueleze nini tena?

Babu DC!!

lol.......... Mimi nilishaaamini...lol.. wewe mwenyewe ndo umesema waleta nyingine....

furaha yangu ni kuona kila ninalolipanga linafanikiwa,.. Kuona watu wangu wa karibu nao wanafurahi.
Siwezi kutaja kimoja kimoja ashadii.

Ndiio maana nikasema baadhi... na hayo kama baadhi, inatosha kabisa.....

Nimeshapata kile nikitakacho. Mke mwema na watoto kadhaa! Mengine ni maj'aaliwa akipenda mungu atanij'aalia pia. Ila kwa sasa namrudishia sifa na utukufu!

sawa mamito, labda nimeandika kwa kifupi sana ndio maana umekuwa na maswali mengi.
Mambo yanayonipa furaha kwa uchache.
1. Afya. Nikiumwa huwa nakosa furaha kabisa. Afya njema ni furaha kwangu.
2. Pesa. Bora niwe nayo hata kidogo. Nikiwa sina kabisa huwa nakosa raha. Lol.
3. Nakosa raha ninapokuwa kwenye mgogoro, uwe mgogoro binafsi au wa kifamilia. Furaha yangu ni kuona mambo yapo sawa.
4. Ninapomkosea mtu nakosa furaha na mtu anaponikosea pia nakosa furaha.. Furaha yangu ni kuona na wengine wanafurahi.
5. Mawazo huninyima furaha. Sipendi kuwaza sana, sipendi kuyafikiria matatizo.
Kama nikiambiwa nichague ninachotaka sitochagua pesa nitachagua furaha maana naweza kuwa na pesa nyingi ila zisinipe furaha.

Mwendabure... maneno ya busara saana haya... umepata na wamshukuru Mungu... HONGERA Saaana.

sawa mamito, labda nimeandika kwa kifupi sana ndio maana umekuwa na maswali mengi.
Mambo yanayonipa furaha kwa uchache.
1. Afya. Nikiumwa huwa nakosa furaha kabisa. Afya njema ni furaha kwangu.
2. Pesa. Bora niwe nayo hata kidogo. Nikiwa sina kabisa huwa nakosa raha. Lol.
3. Nakosa raha ninapokuwa kwenye mgogoro, uwe mgogoro binafsi au wa kifamilia. Furaha yangu ni kuona mambo yapo sawa.
4. Ninapomkosea mtu nakosa furaha na mtu anaponikosea pia nakosa furaha.. Furaha yangu ni kuona na wengine wanafurahi.
5. Mawazo huninyima furaha. Sipendi kuwaza sana, sipendi kuyafikiria matatizo.
Kama nikiambiwa nichague ninachotaka sitochagua pesa nitachagua furaha maana naweza kuwa na pesa nyingi ila zisinipe furaha.

Husny... kwa vigezo vyako hapo juu... You are a good person... Mungu akubariki dear....

Nimeshapata kile nikitakacho. Mke mwema na watoto kadhaa! Mengine ni maj'aaliwa akipenda mungu atanij'aalia pia. Ila kwa sasa namrudishia sifa na utukufu!

Hongera kwa kupata mke mwema. Si wengi wanaoweza kusema hivyo. Pia naombea awe mke mwema kikweli kweli.

Similar Discussions

Back
Top Bottom