AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,116
- Thread starter
- #121
Yaani kama kesho nakutana na Mola naye kuniuliza ombi langu moja tu ..basi mimi nitamwomba afanye kila njia "watoto wetu wasiishi kama vile tulivyoishi sisi" kama ataamua kufanya hivyo kwa sasa au kama ataamua kusawazisha maisha yao baadaye na hivyo kwa sasa sisi tuendelee kupigika na kusaga meno hiyo sio issue niko tayari!
Tulizo you have so much love kwa familia yako... Hongera, I guess watoto ni jambo la muhumu saaana na ni kweli tunakoelekea sio kuzuri kabisa... wanadamu tunazidi evolve for the worse... Sijui kwa kweli wapi tunaelekea... Only God knows.... Mie inayoniuma kuliko yooote ni idadi ya watoto wa kiume inavoongezeka kwa kuharibika hasa katika suala zima ya Ushoga... So Sad.