Tulia.... Vuta Taswira...

Nakuonea huruma kweli... Lizzy umenyang'anywa.... Husny kwa Uporoto.... Bora tu vuta taswira na useme nini wapenda...
Ningejibu tuhuma lakini kwa umuhimu wa hii mada nimeonelea ni vyema nistoke kwenye mada! suala la msingi hivi Binadamu anaridhika?
 
Ningejibu tuhuma lakini kwa umuhimu wa hii mada nimeonelea ni vyema nistoke kwenye mada! suala la msingi hivi Binadamu anaridhika?

Nashukuru kwa hilo.... Swali lako majority hawaridhiki... but amini usiamini wapo wanaoridhika - Hata hivo hio haitufanyi once in a while kufikiria nini we desire most...
 
Nitachagua Happiness!!!!!!!!!!!!!

Watu wanatafuta pesa, mali, marafiki, starehe ili wawe na furaha. So end product ni HAPPINESS! So kama kuna shortcut ya kuwa na furaha milele l go for that!

Kaunga binadamu twapishana... hivo kupishana pia katika yale ambayo yanafurahisha nafsi zetu... What makes you happy??
 
Nitachagua Happiness!!!!!!!!!!!!!

Watu wanatafuta pesa, mali, marafiki, starehe ili wawe na furaha. So end product ni HAPPINESS! So kama kuna shortcut ya kuwa na furaha milele l go for that!

shortcut ni kufa tu,uende peponi lol
 
AJ Patiently waiting...lol
Mh .. I real love you patience .. Kwani imenipunguzia kazi and am taking the advantage . Ok?!.. Please Return That Signature ... Kweli kabisa huo ndio mwisho wa utulivu nilionao ... Na ndiyo Taswira ya mwishoo... Lol
 
Ki-PP kwa hamu nakusubiri jibu lako....

Kuna vitu viwili hapa bado najaribu kuvifanyia comparison coz naona vyote vinategemeana na ndivyo vitakavyonifanya niridhike maishani mwangu!! mmmh.............ila haka ni kachemsha bongo tosha kabisa!! ADI nitarudi baadae.
 
Mh .. I real love you patience .. Kwani imenipunguzia kazi and am taking the advantage . Ok?!.. Please Return That Signature ... Kweli kabisa huo ndio mwisho wa utulivu nilionao ... Na ndiyo Taswira ya mwishoo... Lol

AJ bado tu walalama kuhusu Signature??? lol What is wrong with this one?? (thou kuna member mwingine nae kaniambia..lol)
 
nimegundua kuwa watu wengi humu ni ma selfish...lol

siri mojawapo ya furaha ni kuwasaidia wengine wapate furaha.....

ndo maana kuna kazi ambazo wanaozifanya huwapa furaha mno kila siku...

tazama madaktari wa upasuaji akifanikiwa kazi yake......

na kadhalika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom