Tulia.... Vuta Taswira...

Tulia.... Vuta Taswira...

ha ha ha.... AJ.. You are my friend.. How can i regret... Tatizo you like it a lot and you think, i can't let go... Nikiitaka si utanigawia?? lol

Sure ... Your very kind Nilijua uatapata ugumu ..kuichia... With me doing the reverse ..hah hah ..!!
 
unanikumbusha habari moja mfalme mmoja aliambiwa achague kati ya mali na hekima... yeye alichagua hekima ..nami pia ningetaka niongezew e hekima..kwa hiyo hekima itakua rahisi kukabili chalanges nyingene kwa hiyo nitaishi kwa amani.
 
Wewe kuweza ongea hayo maneno... tayari mwenyezi Mungu kakujalia Hekima..... Nakuombea akujalie zaidi na zaidi....
 
Kwanza *.... sijui kama kuna mtu kakuliza what would be your answer for the above thing you asked us ... Please ..share!!

Nishajibu baada ya NN kuuliza... on post # 10

Kwanza Amani na Upendo... But hata hivo I have learned the crude way kua Amani na Upendo bila Pesa ni kazi bure... Haipo sustainable...!
 
Habari wana JF….

If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima... Naomba tafadhali;
Tulia.... na Vuta Taswira.. uweze tuambia hicho kitu....
na yawezekana tayari wakijua...-Please Share....

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Hivi Ni kweli ulikuwa na maana ya kitu kimoja .... ? This is according to your explanation ... Kama ni kitu kimoja ... Even you you missed it ... You mentioned two things ...and not being certain ..ukaongezea ..the third thing ... I would be happy if you came with one thing!!

Can you come with one thing *?
 
ha ha ha.... Sijui kapotelea wapi... naona bado anavuta taswira....
Taswira imegoma aisee! tutaendelea kesho! bado kila nikivuta taswira naona kama naungana na Mzee DC tu katika posts zake tukufu.
 
Nashukuru kwa hilo.... Swali lako majority hawaridhiki... but amini usiamini wapo wanaoridhika - Hata hivo hio haitufanyi once in a while kufikiria nini we desire most...
Now u r talking! acha kesho nikuje na nondo za kufa mtu! stay tuned.

Offutopik: kuna kila dalili Husninyo nitampiga kibuti karibuni, nishachoka huu mpango wake wa mikwala hazarani halaf anaomba razi PM.
 
kuishi maisha ya kawaida niweze kujihudumia mwenyewe na familia yangu pia kwa mahitaji muhimu ktk maisha kwa kipato halali sio kuishi kama mafisadi kutwa kucha wanawaza wapi wakaibe.
 
If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima...

Yaani kama kesho nakutana na Mola naye kuniuliza ombi langu moja tu ..basi mimi nitamwomba afanye kila njia "watoto wetu wasiishi kama vile tulivyoishi sisi" kama ataamua kufanya hivyo kwa sasa au kama ataamua kusawazisha maisha yao baadaye na hivyo kwa sasa sisi tuendelee kupigika na kusaga meno hiyo sio issue niko tayari!
 
Hivi Ni kweli ulikuwa na maana ya kitu kimoja .... ? This is according to your explanation ... Kama ni kitu kimoja ... Even you you missed it ... You mentioned two things ...and not being certain ..ukaongezea ..the third thing ... I would be happy if you came with one thing!!

Can you come with one thing *?

Umenikamata vibaya ujue....lol.. Basi let me stick to Amani.... For with Amani, life is good.... uncomplicated...
 
Taswira imegoma aisee! tutaendelea kesho! bado kila nikivuta taswira naona kama naungana na Mzee DC tu katika posts zake tukufu.

I hope you meant kesho ya leo Kloro.... Alafu nashangaa kweli kweli, hii topic imekugusa nini?? maana lawyer wetu hukwepaki mambo kama ulivokwepa hapa....lol

Now u r talking! acha kesho nikuje na nondo za kufa mtu! stay tuned.

Offutopik: kuna kila dalili Husninyo nitampiga kibuti karibuni, nishachoka huu mpango wake wa mikwala hazarani halaf anaomba razi PM. .

I am tuned... bana kwanini hapa agome then PM kwa magoti? hapo ina maaana kuna mtu yupo tayari hivo yeye Husny hataki huyo mtu ajue...
 
kuishi maisha ya kawaida niweze kujihudumia mwenyewe na familia yangu pia kwa mahitaji muhimu ktk maisha kwa kipato halali sio kuishi kama mafisadi kutwa kucha wanawaza wapi wakaibe.

aiiseee.... Hii kali, I pray upate wish yako... Best of luck...
 
Back
Top Bottom