Tulia.... Vuta Taswira...

michael jackson had a lot of money..

was he happy?????????

That was Michael Jackson. Maybe he had something else that made him happy or that would have made him happy or happier.

We are all different and different strokes for different folks. Just coz money didn't make him happy (and I don't know where you got that from) that doesn't mean it wouldn't make me happy.
 
napenda mno kuwa na pesa nyiingi but deep down najua happiness comes from within.....

jioni wakati wa kurudi makazini...unaweza ona watu wamebanana kwenye daladala but wako more happy kuliko wanaondesha magari yao

chunguza kuanzia leo

wataalamu wanasema watu wenye furaha zaidi duniani ni watu wenye marafiki wengi wa kweli..

so the way unavyo tengeneza mahusiano na watu tofauti itasababisha uwe na furaha kwa kiwango gani
 
we all want what we dont have......

ukizipata hizo pesa,chanzo cha furaha yako kitabadilika....
 
Kwa kweli nitakuwa mwongo nikisema hata ninayo hiyo orodha kwa sababu JF ni kama msitu wenye kiza kinene. Huwezi jua mtu asemacho kama ni cha kweli au la.

Mtu anaweza akasema yeye ni mcha mungu na blah blah zingine kama hizo na kwamba hajawahi kuchiti and whatever lakini kumbe anadanganya au anasema ukweli. Sisi tutajuaje humu?

Forum-wise, you are in my top 5 of people whom I agree with the most.

NN I really am Curious leo umeamkia pande zipi.... I love the sound of the last sentence... Perfectooo....
 
napenda mno kuwa na pesa nyiingi but deep down najua happiness comes from within.....

jioni wakati wa kurudi makazini...unaweza ona watu wamebanana kwenye daladala but wako more happy kuliko wanaondesha magari yao

chunguza kuanzia leo

wataalamu wanasema watu wenye furaha zaidi duniani ni watu wenye marafiki wengi wa kweli..

so the way unavyo tengeneza mahusiano na watu tofauti itasababisha uwe na furaha kwa kiwango gani

What if I am already happy and I need that extra thing to make me even more happier? And that thing happens to be moolah. What's wrong with that?

See, this is the problem. Many people are scared to say that money would make them happy or happier. I just don't get it.

There is nothing wrong with money. Matter of fact there is nothing wrong with having a lot of money. I can do a lot of good things if I had a lot of money.

I'm not gonna sit here and pretend I don't like money. I love money.
 
Watu wenye pesa nying tend to change once wakiwa nazo nyiiingi... But ingekua our worries ni zile zile ambazo zilikua wakati hizo pesa hazijawa nyingi hivo then - most people wangekua happy... However mie naamin saana kua ukiwa na pressures katika maisha ambayo yanasababishwa na lack of dough, unakua na matatizo meengi yalokuzunguka na hata inside you... for no amani, sometimes depressed, yaweza sababisha hata uwe hateful, which is not good...

Nakubaliana kabisa na your last sentence... sasa ukiwa na pesa then na hio last sentence, then life is good.
 
we all want what we dont have......

ukizipata hizo pesa,chanzo cha furaha yako kitabadilika....

I think I got everything else...I got a super beautiful baby...decent education....(mortgaged) house....car......good health (so far)....what else am I missing?
 
NN I really am Curious leo umeamkia pande zipi.... I love the sound of the last sentence... Perfectooo....

Hahahaa...am I being overly nice to you or what? I thought I was always nice to you...don't you think?
 
What if I am already happy and I need that extra thing to make me even more happier? And that thing happens to be moolah. What's wrong with that?

See, this is the problem. Many people are scared to say that money would make them happy or happier. I just don't get it.

There is nothing wrong with money. Matter of fact there is nothing wrong with having a lot of money. I can do a lot of good things if I had a lot of money.

I'm not gonna sit here and pretend I don't like money. I love money.

yote uliyoongea its like ume copy and paste from me.....lol
my favourite song is money ,money,money.....

but tukijadili happines ....ukitazama how many unhappy rich people
na how many happy not very rich people....

nafikiri hata wewe ukipata pesa zoote unazotaka...utashangaa kuna missing...

kama ambavyo now unafikiri its just extra thing ndo unachotaka
 
Mtoto. Sijajaribu ila siku hizi huwa na imagine mtoto. Huwa nawaza kumfundisha kusoma na hesabu na kucheza nae. Itakuwa raha sana.

I pray to God upate ndoto yako.... Kumbuka kujipanga walau... thou sio lazima...
 
yote uliyoongea its like ume copy and paste from me.....lol
my favourite song is money ,money,money.....

Nafikiria kubadili jina na kujiita Money Nyani Ngabu (MNN). What do you think?

but tukijadili happines ....ukitazama how many unhappy rich people
na how many happy not very rich people....

Lakini vile vile kuna wengi tu walio mafukara na hawana furaha vilevile na wanatamani walau siku moja na wao wapate hela waweze kuvaa na kupendeza vizuri na kwenda kula Kempinski.

nafikiri hata wewe ukipata pesa zoote unazotaka...utashangaa kuna missing...

kama ambavyo now unafikiri its just extra thing ndo unachotaka

I am not a soothsayer and neither do I think you are but we'll see when I get rich.
 
Nafikiria kubadili jina na kujiita Money Nyani Ngabu (MNN). What do you think?

Lakini vile vile kuna wengi tu walio mafukara na hawana furaha vilevile na wanatamani walau siku moja na wao wapate hela waweze kuvaa na kupendeza vizuri na kwenda kula Kempinski.

I am not a soothsayer and neither do I think you are but we'll see when I get rich.

ukibadili jina na pesa usipate????

hivi unajua bbc tv walikuwa na documentary inaitwa the happiness formula?
kulikuwa na vit interesting mno

mfani nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani ilikuwa nigeria.....

na vitu viingi mno....sometimes the more money u want,the more the thirst for it
na the more unakuwa na anxiety over money na you want to protect it and more
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom