Tulia.... Vuta Taswira...

AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,243
Likes
341
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,243 341 180
Habari wana JF….

If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima... Naomba tafadhali;
Tulia.... na Vuta Taswira.. uweze tuambia hicho kitu....
na yawezekana tayari wakijua...-Please Share....

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,102
Likes
49,303
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,102 49,303 280
Peace of mind! Not having to worry about any kind of bills or what the future holds, not having to worry if I'm gonna be able to provide a roof over my baby's head or put food on the table.

What would give me a peace of mind? Well, to me, and I repeat, to me, an abundant supply of money would. If I know for sure that I am set for the rest of my life what else is there to worry about? Nothing!
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,243
Likes
341
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,243 341 180
Peace of mind! Not having to worry about any kind of bills or what the future holds, not having to worry if I'm gonna be able to provide a roof over my baby's head or put food on the table.

What would give me a peace of mind? Well, to me, and I repeat, to me, abundant supply of money would. If I know for sure that I am set for the rest of my life what else is there to worry about? Nothing!

That is Commonsensical... And i do believe those who say dough isn't everything already have tons...
 
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,912
Likes
96
Points
145
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,912 96 145
Habari wana JF….

If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima... Naomba tafadhali;
Tulia.... na Vuta Taswira.. uweze tuambia hicho kitu....
na yawezekana tayari wakijua...-Please Share....

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
Pesa sabuni ya roho, hakuna kingine!
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,243
Likes
341
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,243 341 180
Pesa sabuni ya roho, hakuna kingine!

Naona unaungana na NN... Yeye katoa sababu zake za kwa nini, naomba kusikia zako Jsaudi....
 
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
8,701
Likes
1,244
Points
280
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined Mar 1, 2011
8,701 1,244 280
Ashadii...umenipa kazi ya kutafakari...atleast ungesema nitaje mambo kama matano.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,102
Likes
49,303
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,102 49,303 280
Amani na Upendo... But hata hivo I have learned the crude way kua Amani na Upendo bila Pesa ni kazi bure... Haipo sustainable...
Walau hapo umekuwa mkweli!
 
klorokwini

klorokwini

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
8,707
Likes
55
Points
135
klorokwini

klorokwini

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
8,707 55 135
Habari wana JF….

If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima... Naomba tafadhali;
Tulia.... na Vuta Taswira.. uweze tuambia hicho kitu....
na yawezekana tayari wakijua...-Please Share....

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
bado nafkiria, will get back 2 u soonest
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,243
Likes
341
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,243 341 180
mke mwenye busara,kutaniana na kufaurahiana siku zote

Hio waweza pata with patience, busara, akili kutulia na Focus...
Waweza pata mwenye sifa zoote ama mbili wapo....

Best of Luck katika hilo....
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,102
Likes
49,303
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,102 49,303 280
NN katika list yako ya waongo... Nipo Top 5 OR 10?
Kwa kweli nitakuwa mwongo nikisema hata ninayo hiyo orodha kwa sababu JF ni kama msitu wenye kiza kinene. Huwezi jua mtu asemacho kama ni cha kweli au la.

Mtu anaweza akasema yeye ni mcha mungu na blah blah zingine kama hizo na kwamba hajawahi kuchiti and whatever lakini kumbe anadanganya au anasema ukweli. Sisi tutajuaje humu?

Forum-wise, you are in my top 5 of people whom I agree with the most.
 
Forum statistics

Threads 1,251,853
Members 481,915
Posts 29,787,695