Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Dadeki revola nilikuwaga naiskia tu redioni. Bila shaka ilikuwaga Sabuni hii ya kuogea. Ila enzi hizo Mimi Sabuni ya kufulia ndio ilikuwa hiyohiyo ya kuogea iliitwa Mbuni na Ukikosa kabisa kulikuwa na matunda flani tulikuwa tunayatumia kama Sabuni na yalitakatiaha nguo vizuri tu.
Hahaha hatari
 
Back
Top Bottom