Tunaomba msituletee mijadala ya Bunge fake hapa JF

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,585
Reaction score
14,901
Tunaomba msitujazie video na maneno ya kiki ya hao wabunge ambao kila mtu anajua ni fake! tujadili mambo mengine muhimu na tusiwape muda watu ambao ni wezi wa kura na hawajachaguliwa na watanzania.
 
anzisha forum yako uweke hizo sheria
 
Back
Top Bottom