Tujadili mambo ya msingi

Tujadili mambo ya msingi

  1. Mataifa mengi ya Europe yana kodi kubwa sana za mapato na biashara,
  2. Gharama za ardhi,mishahara ya wafanya kazi zipo juu sana,
  3. Kuna sheria ngumu sana za mazingira,vibali na haki za wafanyakazi,
  4. Europe haina hifadhi kubwa ya madini ukilinganisha na Afrika
  5. Upendeleo wa soko la nyumbani 'Home market bias' Mara nyingi wateja hununua bidhaa ambazo walisha ziona na wanazitumia kila siku,
  6. Kuna issue za Currency risk,Lack of information na mengineyo mengi tu.
 
Hii inatokana na nini? Je ni sawa na kusema watu weupe wana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mtu mweusi?

Sahihi kabisa hatufundishwi kufanya rational decisions na tunajifunza wenyewe kwa uzoefu, so inatufanya kuamini tunapotoka au tunapojulikana ndo tuna security, chance kubwa ya mafanikio na pia kubwa zaidi tutaonekana tumewazidi wanaotufahamu na kutupatia emotional exalment so inaraise our ego sana, na at the end fulfilment mentally!
 
  1. Mataifa mengi ya Europe yana kodi kubwa sana za mapato na biashara,
  2. Gharama za ardhi,mishahara ya wafanya kazi zipo juu sana,
  3. Kuna sheria ngumu sana za mazingira,vibali na haki za wafanyakazi,
  4. Europe haina hifadhi kubwa ya madini ukilinganisha na Afrika
  5. Upendeleo wa soko la nyumbani 'Home market bias' Mara nyingi wateja hununua bidhaa ambazo walisha ziona na wanazitumia kila siku,
  6. Kuna issue za Currency risk,Lack of information na mengineyo mengi tu.
Wao wanafanikiwaje kuja kuwekeza huku kwetu?
 
Sahihi kabisa hatufundishwi kufanya rational decisions na tunajifunza wenyewe kwa uzoefu, so inatufanya kuamini tunapotoka au tunapojulikana ndo tuna security, chance kubwa ya mafanikio na pia kubwa zaidi tutaonekana tumewazidi wanaotufahamu na kutupatia emotional exalment so inaraise our ego sana, na at the end fulfilment mentally!
Ili tuweze kusonga mbele ni nini kifanyike?
 
Nini kifanyike, wazawa wakawekeze nchi za ng'ambo?
Nb. Fedha za kigeni ni muhimu kwa uchumi wa nchi.
kwanza ni watu kufanya kazi kwa maarifa na bidii makwao,

lakini pili,
ni watu kujikwamua wao kiuchumi kwanza wakiwa makwao,

tatu ni kuwekeza vyakutosha makwao,

halafu nne,
ile ziada ambayo ni faida sasa inayotokana na uwekezaji makwo, ndipo kuifikiria kwenda kuiwekeza Ulaya na kote kwenye fursa ulimwenguni :NoGodNo:
 
kwanza ni watu kufanya kazi kwa maarifa na bidii makwao,

lakini pili,
ni watu kujikwamua wao kiuchumi kwanza wakiwa makwao,

tatu ni kuwekeza vyakutosha makwao,

halafu nne,
ile ziada ambayo ni faida sasa, ndipo kufikiria kwenda kuwekeza Ulaya na kote kwenye fursa ulimwenguni :NoGodNo:
Uko sahihi, je hawa wahindi tunaopishana nao huku viwandani na kwenye biashara zao, wamejitosheleza kule kwao?​
 
  1. Mataifa mengi ya Europe yana kodi kubwa sana za mapato na biashara,
  2. Gharama za ardhi,mishahara ya wafanya kazi zipo juu sana,
  3. Kuna sheria ngumu sana za mazingira,vibali na haki za wafanyakazi,
  4. Europe haina hifadhi kubwa ya madini ukilinganisha na Afrika
  5. Upendeleo wa soko la nyumbani 'Home market bias' Mara nyingi wateja hununua bidhaa ambazo walisha ziona na wanazitumia kila siku,
  6. Kuna issue za Currency risk,Lack of information na mengineyo mengi tu.

Mkuu pamoja na kukubaliana na wewe kwa point zote ila kwa uzoefu haya yote yamewekewa control nzuri sana kwa hawa wenzetu, ukiamua kufanya biashara na uwekezaji system zinakusupport na zinalinda kila mtu, wewe, wafanyakazi wako, serikali, walaji, watoza kodi na kila mtu, sheria unaona ni ngumu kama umezoea bongo kufanya ujanjaujanja, ukifuata sheria na taratibu wote mnafaidika na biashara yako itakua tu! Hizo risks zote ulizotaja huko wanazijua na zipo predictable so unaziweka kwnye plan zako kabisa, hamna surprises kama kwetu, hujui ukiamka nani atakutembelea na atakuja na lipi, kufunga biashara, rushwa, kulipia chama tawala mchango ambao hata hukuplan, au kuchangia msiba wa diwani au mwanae anayeenda kusoma mkoa etc...

Huko unajua kabisa obligation zako za kisheria na kiutawala na personal hata kabla hujaanzisha biashara so unajua kabisa faida au hasara kwenye business plan ili uwe na maamuzi ya kufanya au kuacha!
 
Mkuu pamoja na kukubaliana na wewe kwa point zote ila kwa uzoefu haya yote yamewekewa control nzuri sana kwa hawa wenzetu, ukiamua kufanya biashara na uwekezaji system zinakusupport na zinalinda kila mtu, wewe, wafanyakazi wako, serikali, walaji, watoza kodi na kila mtu, sheria unaona ni ngumu kama umezoea bongo kufanya ujanjaujanja, ukifuata sheria na taratibu wote mnafaidika na biashara yako itakua tu! Hizo risks zote ulizotaja huko wanazijua na zipo predictable so unaziweka kwnye plan zako kabisa, hamna surprises kama kwetu, hujui ukiamka nani atakutembelea na atakuja na lipi, kufunga biashara, rushwa, kulipia chama tawala mchango ambao hata hukuplan, au kuchangia msiba wa diwani au mwanae anayeenda kusoma mkoa etc...

Huko unajua kabisa obligation zako za kisheria na kiutawala na personal hata kabla hujaanizisha biashara so unajua kabisa faida au hasara kwenye business plan ili uwe na maamuzi ya kufanya au kuacha!
Mkuu,nafahamu yote hayo ila mimi nimeelezea kwa mtu ambaye yupo huko Bongo ili siku akiamua kuwekeza Europe japo awe na idea ya baadhi ya vitu/Sheria/taratibu,hasa kwenye haki za wafanyakazi na kodi.
 
Sahihi kabisa hata wazungu wanapokuja Africa huwa wamefanya homework yao kubwa kujua wanapoenda wataingiaje na watakabiliana namna gani na changamoto zote, so ukiamua kwenda kuwekeza hata Kenya tu acha Ulaya unapaswa kujifunza kila kitu kinachohusu uwekezaji huko uendako!
 
Uko sahihi, je hawa wahindi tunaopishana nao huku viwandani na kwenye biashara zao, wamejitosheleza kule kwao?​
kwa kiasi kikubwa wamewekeza makwao vya kutosha, na wamepata faida kubwa sana,

na kwakua ushindani kule kwao ni mkubwa zaidi, baadhi yao wamebainisha fursa nyingine nyingi zaidi za uwekezaji maeneo mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania, na kuzichangamika bila kuchelewa.

Na utamaduni wao wa kurithishana utajiri umewafanya kua imara sana kiuchumi siku zote, huku wahindi wavivu wachache sana miongoni mwao kua wazururaji tu mitaani. Lakini wengi wana bidii na maarifa sana katika uwekezaji na kutafuata pesa.

kwa mfano wewe gentleman,
kwenye games za leo za kirafiki za kimataifa, umewekeza shilingi ngapi na jana muhindi kakupiga bei gani? :NoGodNo:
 
Umekariri though, lecture za mzee wa jalalani pale UD...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom