Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 6,935
- 14,033
nikijaaliwa afya njema na zawadi ya uhai,
huenda next week nikaenda kucheki mechi moja hivi ya world cup new york, nitakupa uhalisia zaidi,
but hakuna haja ya kunyong'onyezwa na yeyoyte kuhusu uwekezaji New York.
but ni muhimu zaidi kufanya kazi kwa bidii na maarifa lakini pia, bila kukata tamaa![]()
Sawa kila la kheri...