Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 39,894
- 33,472
Mponda kokoto, mama ntilie, konda wa mabasi madogo madogo, mafundi ujenzi n.k, hawafanyi kazi kwa bidii?
nasisitiza sana kufanya kazi kwa maarifa na bidii zaidi regardless unachapa kazi gani halali gentleman.
usikate tamaa wala kupoteza wakati kuambatana na wavivu au wale walioshindwa kazi kutokana na uvivu wao, we chapa kazi tu gentleman na umshukuru Mungu kwa matunda utakayopata kwa bidii katika kazi zako za maarifa na mikono yako.
huna haja kunishukuru mimi hata kidogo
