Tujadili mambo ya msingi

Tujadili mambo ya msingi

kwa kiasi kikubwa wamewekeza makwao vya kutosha, na wamepata faida kubwa sana,

na kwakua ushindani kule kwao ni mkubwa zaidi, baadhi yao wamebainisha fursa nyingine nyingi zaidi za uwekezaji maeneo mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania, na kuzichangamika bila kuchelewa.

Na utamaduni wao wa kurithishana utajiri umewafanya kua imara sana kiuchumi siku zote, huku wahindi wavivu wachache sana miongoni mwao kua wazururaji tu mitaani. Lakini wengi wana bidii na maarifa sana katika uwekezaji na kutafuata pesa.

kwa mfano wewe gentleman,
kwenye games za leo za kirafiki za kimataifa, umewekeza shilingi ngapi na jana muhindi kakupiga bei gani? :NoGodNo:
Mfano mmoja mdogo tu, nikienda nchi mojawapo Ulaya, nikafungua kikarakana cha kushona magauni tu ya kimasai, unadhani ni kiasi gani cha fedha kitahitajika?​
 
hapo cha kukariri ni kipi kwa mfano gentleman?
mambo mbona yako wazi tu aise, kulikoni ukariri? :NoGodNo:

Wahindi wapo very dynamic kijana, na wanaziona fursa popote zilipo sio kwamba kwao kumejaa, wanatake risk na kuchukua hatua so achana na mzee wa jalalani anamdaganya mama tu apate ugali, najua tunatofautiana sana kwnye masiasa ila kwenye maisha wewe ni kijana tazama wapi utanufaika na chukua hatua kujifunza au kufanya, coz ujamaa ushakufa ni nguvu zako za akili, physical, au mental tu zitakupa maisha, siasa zinabadilika sana fanya mind yako iwe liberal, usikariri!

Utanikumbuka siku moja...
 
Mfano mmoja mdogo tu, nikienda nchi mojawapo Ulaya, nikafungua kikarakana cha kushona magauni tu ya kimasai, unadhani ni kiasi gani cha fedha kitahitajika?​
Gentleman,
nadhani kwa kuanzia,
dollar za kimarekani elfu5 tu zinatosha kufanya uwekezaji wa awali na kuanza kazi uzalishaji mara moja jiji New York Marekani:NoGodNo:
 
Wahindi wapo very dynamic kijana, na wanaziona fursa popote zilipo sio kwamba kwao kumejaa, wanatake risk na kuchukua hatua so achana na mzee wa jalalani anamdaganya mama tu apate ugali, najua tunatofautiana sana kwnye masiasa ila kwenye maisha wewe ni kijana tazama wapi utanufaika na chukua hatua kujifunza au kufanya, coz ujamaa ushakufa ni nguvu zako za akili, physical, au mental tu zitakupa maisha, siasa zinabadilika sana fanya mind yako iwe liberal, usikariri!

Utanikumbuka siku moja...
gentleman,
mimi sijasema kwao pamejaa au sijasema kwamba hao jamaa hawatake risk kuchukua hatua wanazoona zinawanufaisha.

lakini gentleman,
sijaona utoafauti wa mantiki yangu na yako dhidi ya wachapakazi wa kihindi, unless una jambo unataka kunieleza but unakosa platform nzuri ya kunieleza.

Hivi kuna mtu ana muda wa kariri chochote kweli nyakati hizi za mabadiliko ya kila dakika kwa kila kitu? binafsi sidhani.

Jambo la mwisho,
gentleman,
licha ya kua mwanasiasa mbobevu katika siasa za kitaifa na kimataifa, mimi ni ni kiongozi wa wananchi, muhadhiri wa vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi, mkulima, mfanyibishara, mfugaji na Apostel miongoni mwa mitume, manabii na walimu wa dini humu nchini.

Nipo JF kujifunza mambo mapya, fikra mbdala na bora zaidi ya upeo wa uelewa na ufahamu wangu dhidi ya mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Sintachoka kujifunza, kwasababu kuna mambo makubwa na muhimu sana humu JF.

hayo mengine kwasababu ni porojo na dhana binafsi potofu,
sina haja ya kupoteza wakati kuyaeleza.

ile ya maana zaidi ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujikomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa dhidi ya walaghai na wajanja wa dunia hii. Tupendane kama watoto wa mama moja Tanzania :NoGodNo:
 
Unajua rent ya chumba kimoja NY? 😛 😛 😛

Hebu google siku hizi uzuri info zipo kwnye fingetips...
ndio naijua gentleman,

naijua bei halisi na sio ya google

na hata bei ya nyumba NewYork Marekani na bei ya nyumba Masaki Dar es Salaam Tanzania zinalandana tu kwa sasa gentleman, sambamba na mapango ya fremu au nyumba :NoGodNo:
 
gentleman,
mimi sijasema kwao pamejaa au sijasema kwamba hao jamaa hawatake risk kuchukua hatua wanazoona zinawanufaisha.

lakini gentleman,
sijaona utoafauti wa mantiki yangu na yako dhidi ya wachapakazi wa kihindi, unless una jambo unataka kunieleza but unakosa platform nzuri ya kunieleza.

Hivi kuna mtu ana muda wa kariri chochote kweli nyakati hizi za mabadiliko ya kila dakika kwa kila kitu? binafsi sidhani.

Jambo la mwisho,
gentleman,
licha ya kua mwanasiasa mbobevu katika siasa za kitaifa na kimataifa, mimi ni ni kiongozi wa wananchi, muhadhiri wa vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi, mkulima, mfanyibishara, mfugaji na Apostel miongoni mwa mitume, manabii na walimu wa dini humu nchini.

Nipo JF kujifunza mambo mapya, fikra mbdala na bora zaidi ya upeo wa uelewa na ufahamu wangu dhidi ya mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Sintachoka kujifunza, kwasababu kuna mambo makubwa na muhimu sana humu JF.

hayo mengine kwasababu ni porojo na dhana binafsi potofu,
sina haja ya kupoteza wakati kuyaeleza.

ile ya maana zaidi ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujikomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa dhidi ya walaghai na wajanja wa dunia hii. :NoGodNo:

Najua we kiongozi wa wananchi (sisi kenge) na mwaka jana uligombea ubonge unfortunately ukanyimwa kwa kuwa mamaduro alishaweka list yake hukufanya lobbying sawasawa, sasa kama unajua rent ya NY kwa nini unapotosha? Kwa $5k utalipa ni nauli tu ya mizunguko yako, hata ukiipeleka KY bado atasajili tu na kujilisha sembuse NY hebu kuwa realistic basi mkuu mwanasiasa mbobevu, tatizo wanasiasa wa sisiemu bado wanafikiri sisi kenge ni walewale wa enzi ya mwalimu! Hebu jiupdate basi uwe na data, tukuamini!

Hiyo $5k hapo bongo wanailamba brela tu na wanasheria na vishoka sembuse NY the most expensive part of the world??
 
Wapo waliopata vyote, na wengine wanajiaminisha ni matajiri lakini wameshindwa kuwekeza huko tatizo linaweza kuwa ni nini?​
Ni mitazamo hasa kwa kila mmoja ila katika swala la kuwekeza hasa kwetu sisi ni janga maana mitaji ni ya kubahatisha sana hasa mtu akifikiria labda mtaji katafuta tangu amefeli darasa la saba mpaka anafika 35 ndo kidogo kwake maisha angalau alafu leo umletee kitu cha kuwekeza cha zaidi ya mtaji wake au chini ya mtaji wake wakati anaona shortcuts kibao za kupata pesa kuliko kuweka huko na kunufaisha serikali kwanza kabla yake
 
ile ya maana zaidi ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujikomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa dhidi ya walaghai na wajanja wa dunia hii. Tupendane kama watoto wa mama moja Tanzania :NoGodNo:
Mponda kokoto, mama ntilie, konda wa mabasi madogo madogo, mafundi ujenzi n.k, hawafanyi kazi kwa bidii?
 
Najua we kiongozi wa wananchi (sisi kenge) na mwaka jana uligombea ubonge unfortunately ukanyimwa kwa kuwa mamaduro alishaweka list yake hukufanya lobbying sawasawa, sasa kama unajua rent ya NY kwa nini unapotosha? Kwa $5 utalipa ni nauli tu ya mizunguko yako, hata ukiipeleka KY bado atasajili tu na kujilisha sembuse NY hebu kuwa realistic basi mkuu mwanasiasa mbobevu, tatizo wanasiasa wa sisiemu bado wanafikiri sisi kenge ni walewale wa enzi ya mwalimu! Hebu jiupdate basi uwe na data, tukuamini!

Hiyo $5k hapo bongo wanailamba brela tu na wanasheria na vishoka sembuse NY the most expensive part of the world??
gentleman,
wewe ukijiita kenge, nguchiro, nyumbu au chawa miongoni mwa wananchi, huu ni uamuzi wako binafsi huru na mapenzi yako tu, there is no problem tu me, but mim ni kiongozi wa wananchi full stop.

Jambo la pili,
hakuna wananchi wangu wanazweza kuninyima mimi ambae wameniamini na kunipatia kazi na jukumu nzito na la muhimu sana la kusukuma maendeleo yao kijamii, kisiasa na kiuchumi. Hakuna mwananchi kama huyo katika eneo langu gentleman.

Jambo la mwisho,
gentleman,
wawekezaji mtaji wao mkubwa ni plan na sio maburungutu ya pesa. Huna haja ya kutishika kabisa na wanao kuhadaa ati NewYork upangishaji fremu au ununuzi wa nyumba au kiwanja ni gahali sana kuliko Masakai Dar es salaam,. No, they are almost the same. Nenda kawekeze upige pesa gentleman na plan yako itakupa pesa mingi zaidi.

utanisamehe kutokutoa maelezo kwa yale ambayo sio muhimu gentleman.
Na kwanini utumie vishoka, na wakati huduma za brela Tanzania gharama ni rahisi mno na hutolewa kielectroniki kimtandao tu? :NoGodNo:
 
Ni mitazamo hasa kwa kila mmoja ila katika swala la kuwekeza hasa kwetu sisi ni janga maana mitaji ni ya kubahatisha sana hasa mtu akifikiria labda mtaji katafuta tangu amefeli darasa la saba mpaka anafika 35 ndo kidogo kwake maisha angalau alafu leo umletee kitu cha kuwekeza cha zaidi ya mtaji wake au chini ya mtaji wake wakati anaona shortcuts kibao za kupata pesa kuliko kuweka huko na kunufaisha serikali kwanza kabla yake
Wapo wanaopata pesa nyingi hapa kwa mishahara,posho n.k (local currency), wanafeli wapi kuwa wawekezaji wa kiuchumi huko ng'ambo?
 
Back
Top Bottom