KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
Hapana Ndugu Sina maana kwamba Mimi nina upeo mkubwa.......nimejaribu tu kutanabaisha tu hali Fulani kwenye jamii.....Kwamba una upeo mkubwa!!!...acha hizo jamma yangu,huna upeo zaidi ya kimo Cha mbuzi
Kimsingi hili suala la askari wa barabarani linahitaji mjadala mkubwa na yakinifu na sio kuchukuliwa juu juu kimihemko......maamuzi yoyote yanaweza kuleta kwa namna moja au nyingine......
Sote tunafahamu jinsi gani madereva wetu walivyo wazembe barabarani......
