Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

Kuna yeyote humu amewahi kukamatwa na trafiki na akalipishwa faini bila kosa lolote? Be honest; yaliyo moyoni kwako wayajua mwenyewe.

Hizo rushwa za elfu 5 au 10 sio sisi wenyewe tunawabembeleza kukwepa kulipa elfu 30? Tunawalaumu kwa lipi kuhusu rushwa? Unless tunalaumu mapato ya serikali kupotea which I don't think kama ndicho kinacholalamikwa na madereva.
Kivulini, Riverside, Mpakani moja nililipa rushwa zingine nilikaza nikala vyeti 😂😂😂 sababu Zebra na Taa which of course hazikuwa real.
 
Kwahiyo ww ulikuwa ukiona sawa trafick kukaa makundi makundi vile barabarani utadhani pundamilia tena highway??
Huyo mtoto wa trafiki lazma atetee kibarua kinachowapa kula hapo line polisi
 
Siwapendi polisi kwa ula rushwa wao na usumbufu mwingi wanaoufanya barabarani, ila kitendo cha kuwaondoa sikubaliani nacho aslan.

Uzoefu unaonesha Watanzania kama punda, bila mkono wa chuma/mijeledi hawafuati sheria.
Hivyo kuwaondoa polisi itakuwa janga kwa watumia barabara.
Kuna njia nyingine za kusafisha hilo jeshi na sio kuwaondoa njiani.
Waondolewe bwana mbona zama za Magufuli walikuwa wachache tu. Sahizi wanajazana kila baada ya kilometre moja wapo wanakubambikia kosa uwahonge buku 5-1O
 
Polisi huwezi kumtenganisha na Rushwa hata akiwa nyumbani kwake na mkewe..
 
Mh. Kinana ongea na IGP amewasahau Tigo wasumbufu sana wanapendelea kua maeneo ya Oysterbay wawili nikiwakuta nitawavizia niwapige picha

Wale uwa wanajifanya ni traffic wanaomba na driving license Kazi Yao ni ipi
Kuna mmoja kipande ashakula kaki yangu mataa ya Morroco pale wanakaaga chini ya mti. Sasa unajiuliza yule anakagua leseni kama nani?
 
Hahahahah nashukuru sana kwa hilo muda muafaka sasa wa kuamsha chombo changu 😂😂😂 afadhali nikomae na mafuta sheli ila sio hawa shenzi waliokuwa wametugeuza shamba labibi
Hawa watu wanajishushia heshima wao na wanaiaibisha serikali, unakuwaje afisa wa serikali halafu unaokota buku mbili mbili barabarani, hii ni kuifanya serikali ionekane haijali maslahi ya watumishi wake hadi wategemee kuishi kwa hongo.
 

Gazeti la Raia Mwema limeripoti kwamba tayari panga limekwisha tembea, huku MCHEZO WA UPATU waliokuwa wanacheza Trafiki hao kila siku ukibaki njia panda , kwa vile wengi wamepangiwa kazi zingine ambazo haziingizi chochote zaidi ya Mshahara , TAARIFA ZINADOKEZA KWAMBA TRAFIKI WENGINE WALIKUWA NA MCHEZO WA UPATU WA KULIPA HADI SH LAKI MOJA KWA SIKU , ambapo inaelezwa kwamba chanzo cha hela hizo ilikuwa ni Rushwa za barabarani .

Kwa mujibu wa gazeti hilo , Trafiki wengi wanamlaumu Kinana kwa kuibua jambo hilo .

Endelea kubaki JF kwa taarifa zaidi.

PIA SOMA: Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura
Waende wakaishi kama "mashetani"
Mbwa kabisa,walizoea vya kunyonga.
Sasa dada zao lazima tuwagonge kwa buku Tano za nywere za kimasai.
Shenzy type!!
 
... teknoloji ina limitations zake; makosa ya barabarani ambayo yanaweza kuwa monitored na teknoloji ni baadhi - speed, wrong overtaking, unpaid fines, expired insurances, stika ya nenda kwa usalama, etc. Kuna mengine yanahitaji human intervention - driving without/expired driving license, kutofunga mkanda, kuendesha bila viatu, kutokuwa na fire extinguisher, kutokuwa na triangles, drunkenness, etc.
Acha kujitetea sana, Kwani stika za usalama annually zinatolewa bila inspection!? Sasa uwe wakati Muafaka kukagua na kutoa stika Kwa chombo kulichokidhi matakwa ya kisheria
 
na kweli, itakuwa shida sana tena sana
Wala hamna shida....kufa kufaana. Wakifa hawa wataneemeka wengine such is the circle of life.

Alafu zitazidi kwa muda baadae binadamu wenyewe watastuka mambk yatarudi level. Wacha wakatulie hawa wanatusumbua sie bodaboda. Sasa ni kupepea tuu
 
Wanakagua nini kila km 100!? Acha kuhalalisha rushwa
... dah; hivi ni magari yote yanaanzia mji hadi mji? Si kuna yanayoanzia katikati na kuishia huko huko katikati? Fikria mlevi aliyetoka zake kulewa Ruvu JKT Club anaishia Vigwaza na yuko chakari; inakuwaje?
 
Back
Top Bottom