Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

Tujiulize baada ya mafunzo yao wanakimbilia kuchagua section ya traffic ,hapo huyo hana dhamila ya kulinda Mali za RAIA in vema wachukue nafasi ya ulinzi shirikishi huku mtaani tunalipa 2000 na hatuoni wakilinda
 
Km 100 au 200 zinatosha kabisa kukaguliwa. Tena kuwe na logbook kituo kilichopita umetoka saa ngapi ili speed unayoenda idhibitiwe. Ukaguzi mkubwa wa ubora wa gari ufanyike stand na ukaguzi wa vituo usiwe juu ya dk 3. Chap chap.

"Dereva naomba logbook ya muda, Abiria salama? Mnaridhika na uendeshaji wa dereva? Safari njema".
Hiyo ndio inaleta shida, wasio waaminifu wanaogelea humohumo kudai 5,000 zao!! By the way polisi traffic hawana utaalamu huo WA kujua ubovu WA Gari Kwa haraka hivyo!! Hatukatai check points ila ziwe eneo liloandaliwa rasmi kuwe na mifumo rasmi ya ukaguzi, na kusiwe na kujificha nyuma ya Gari!! Pia Tanroad ndio chanzo kikubwa Cha tatizo, badala ya kutoa elimu kwenye vijiji njia Bora ya matumizi ya barabara wao wameweka mavibao kila umbali WA kilometers 2 limit ya 50km/hr, hivi huyu dereva mwenye Gari ya top speed 200km/hr atawezaje kukagua speed ya 50!? Polisi nao wamefanya mitaji!!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Tujiulize baada ya mafunzo yao wanakimbilia kuchagua section ya traffic ,hapo huyo hana dhamila ya kulinda Mali za RAIA in vema wachukue nafasi ya ulinzi shirikishi huku mtaani tunalipa 2000 na hatuoni wakilinda
Hiyo ndio kazi ya polisi kulinda raia na Mali zao, wao wamekuwa wakilinda zebra crossing Huku kazi hiyo wakiachiwa polisi jamii ambao tunawachangia na hawafanyi lolote!! Kwani Sio fani na ajira yao
 
Hiyo ndio inaleta shida, wasio waaminifu wanaogelea humohumo kudai 5,000 zao!! By the way polisi traffic hawana utaalamu huo WA kujua ubovu WA Gari Kwa haraka hivyo!! Hatukatai check points ila ziwe eneo liloandaliwa rasmi kuwe na mifumo rasmi ya ukaguzi, na kusiwe na kujificha nyuma ya Gari!! Pia Tanroad ndio chanzo kikubwa Cha tatizo, badala ya kutoa elimu kwenye vijiji njia Bora ya matumizi ya barabara wao wameweka mavibao kila umbali WA kilometers 2 limit ya 50km/hr, hivi huyu dereva mwenye Gari ya top speed 200km/hr atawezaje kukagua speed ya 50!? Polisi nao wamefanya mitaji!!
Upo sahihi.
 
Wanachukua rushwa lakini pia sio rushwa sababu hakuna aliyewahi kujitokeza kulalamika kuwa kaombwa rushwa. Hawatakuja kukamatwa sababu kesi za hivi hazina ushahidi wa moja kwa moja. Amini hata yule aliyekutwa na hela kwenye gari yake kule Iringa bado yupo kazini.
 
Tusuburi ajali za barabarani ziongezeke
Ajali za barabarani hazipunguzwi kwa kuwa na Askari wengi barabarani Ila kwa
1.barabara Bora
2.madereva wenye elimu ya udereva yaani walio pitia veta
3.magari Bora
4.sheria Kali za barabarani kwa atakae kiuka au kuvunja Sheria
Askari barabarani watengewe vituo maalumu vya kusimama ambapo kutakuwa na vifaa vyote vya ukaguzi wa gari ambapo kwa siku maalum wanaweza kutenga kufanya ukaguzi kwa magari
Ila siyo huu mfumo ambao wako nao wa Kila sehemu wapo na hakuna kinachofanyika zaidi ya ukusanyaji wa buki mbili
Mfano:unawekwa mfumo kibaha ambao utasoma magari yote yanayo elekea barabara kuu ya dodoma ambapo utasoma muda wa gari unaondoka kituoni hapo na Kisha itasaidia kulidhibiti kituo Cha mbele aidha ni morogoro kwa kuangalia muda ulio fika hapo umetokana na kukimbiza gari kwa mwendokasi hapo dereva anachukuliwa hatua hii itasaidia zaidi kudhibiti mwendo Kasi na rushwa ndogo ndogo za barabarani
 
Kuna yeyote humu amewahi kukamatwa na trafiki na akalipishwa faini bila kosa lolote? Be honest; yaliyo moyoni kwako wayajua mwenyewe.

Hizo rushwa za elfu 5 au 10 sio sisi wenyewe tunawabembeleza kukwepa kulipa elfu 30? Tunawalaumu kwa lipi kuhusu rushwa? Unless tunalaumu mapato ya serikali kupotea which I don't think kama ndicho kinacholalamikwa na madereva.
Tatizo lako unajifanya mjuaji kweli. Hivi traffic wa nchi unawajua kweli. Niliwahi toka home nikakagua gari taa zote zinafanya kazi. Kwa Bahat mbaya taa Moja ingaungua barabarani. Walininga'ang'ania sana. Mwisho wa siku nikawatoa.

Kuna siku Tena nimetokea porin raf road gari imechafuka nasimamishwa naambiwa gari chafu. Nilivutana nao sana Tena alikuwepo DTO. Niligoma kulipa fine make nilitakiwa nifike mjn nikaoshe gar wao wananiambia gar chafu. Hapo Kuna haki.

Jingine traffic wetu wako barabarani kwa ajili ya kuchukua rushwa tu sio kukagua magari huo ndo ukweli mchungu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
... ujuaji wangu uko wapi Chief? Kwa maelezo yako mwenyewe - gari ilikuwa haina taa; gari ilikuwa chafu. Hayo ni makosa ya usalama barabarani? Kama ndio, walikuwa na haki zote kukulipisha faini, kama sivyo walikosea na ulikuwa na haki ya kutokutoa pesa yoyote.
 
Spidi gavana hata ikiwepo kwenye gari dereva akiuondoa waya mmoja haifanyi kazi !! Kwahiyo spidi gavana ya kweli ni matrafiki kuwa wengi na tochi zao !! Vinginevyo tusubiri tuone !! Kisha wengine wataandika tuliwaonya wakadharau !!
Acha uongo traffic mnaongeza ajali barabarani.
 
Back
Top Bottom