Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

Kinana huwa wakati mwingine ana akili yule msomali,najua alizungumzia hii issue ya matraffic baada ya kucheleweshwa na simamisha simamisha ya gari lake
 
Sasa kinana si atoe tamko na upandaji wa Bei za bidhaa,mafuta , vyakula?

Binafsi naona angeanza na kile kinagusa wanainchi wote
 
Sasa kinana si atoe tamko na upandaji wa Bei za bidhaa,mafuta , vyakula?

Binafsi naona angeanza na kile kinagusa wanainchi wote

Ahah daah jamii forums watu mnaakili sana skutegemea kama ungeandika ivi mamb mengine hawasemi wanasema
Mamb yasio na tija kwenye maisha yetu
 
Wewe utakuwa ni traffic
Yaani trafiki hao wapenda rushwa wangekuwa wanafanyiwa rotation kuwa polisi wa lindo kila baada ya kipindi fulani, kupunguza tabia hizo....... trafiki kazi yake yenye tija ni kufanya kazi kulingana na maadili, sheria na kusaidia usalama barabarani na si vinginevyo.!
 
Tusuburi ajali za barabarani ziongezeke
Dua la kuku, kulinda vibao vya 50, zebra crossing, na taa nyekundu ndio ajali ziongezeke!? Yote haya yafanyike Kwa technology ya camera, Mimi nilikuwa nimeapa Kwa hii sandakarawe iliyokuwa inaendelea nisingewachagua Tena ccm, ila Kwa Sasa kura yangu wanayo
 

Gazeti la Raia Mwema limeripoti kwamba tayari panga limekwisha tembea, huku MCHEZO WA UPATU waliokuwa wanacheza Trafiki hao kila siku ukibaki njia panda , kwa vile wengi wamepangiwa kazi zingine ambazo haziingizi chochote zaidi ya Mshahara , TAARIFA ZINADOKEZA KWAMBA TRAFIKI WENGINE WALIKUWA NA MCHEZO WA UPATU WA KULIPA HADI SH LAKI MOJA KWA SIKU , ambapo inaelezwa kwamba chanzo cha hela hizo ilikuwa ni Rushwa za barabarani .

Kwa mujibu wa gazeti hilo , Trafiki wengi wanamlaumu Kinana kwa kuibua jambo hilo .

Endelea kubaki JF kwa taarifa zaidi.

PIA SOMA: Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura
wanasubilia hali itulie kidogo then warudi tena kwa kasi
 
Walikuwa wakisaidia Kwa kula rushwa?Tena huenda walichangia ajali kuzidi kwani hata kama gari bovu,wakivuta mlungula gari linasonga mwendo🤔
Umenena ila Kwa daladala Kuna hesabu ya siku Kwa kila Gari Kwa njia husika!! Rushwa tupu!!
 
... ilikuwa imegeuka kuwa nchi ya trafiki.
Polisi traffic anashindwa kwenda kanisani anaenda kulinda zebra crossing! Kwa upendo Gani!? Jumapili si Mapumziko madaktari wanapumzika wanalazimishwa na overtime hawataki ila polisi wanajitolea!? My Goodness
 
kumbuka ajali zitaongezeka sana maana walikuwa kwa kiasi fulani wanasaidia kuwadhibiti madereva washenzi
Mbona hamuelewi? Hawajaondolewa bali wamepunguzwa ili wengine wapangiwe kazi nyingine au wakafanyie utrafiki wao kwenye maeneo mengine

Kuna maeneo flani (potential kwa rushwa) ilikuwa ni kawaida kukuta traffic police hata 10. Unajiuliza wote hawa hapa wanafanya nini?
 
Nakazia;
Wakiinvest kwenye technology serikali itakusanya mapato kuliko kuwategemea traffic police ambao huchukua rushwa na kuzitumia wao kwa mambo yao binafsi
... teknoloji ina limitations zake; makosa ya barabarani ambayo yanaweza kuwa monitored na teknoloji ni baadhi - speed, wrong overtaking, unpaid fines, expired insurances, stika ya nenda kwa usalama, etc. Kuna mengine yanahitaji human intervention - driving without/expired driving license, kutofunga mkanda, kuendesha bila viatu, kutokuwa na fire extinguisher, kutokuwa na triangles, drunkenness, etc.
 
Sio kweli Mkuu !! Mimi ni raia mwema tu ! Najaribu kutoa tahadhari maana mimi nimesafiri sana barabarani nawajua vizuri sana madereva wetu wa sasa huko barabarani akili zao huwa zinahama sijui huwa zinaenda wapi ! Ndio maana utaona kila wakati wanaulizana kwa ishara kama Trafiki wapo mbele au hawapo? Ili tu akanyage mafuta kisawasawa na bila kuchukua tahadhari yeyote !!
Mjini ndo wapunguzwe. Vituo vya ukaguzi viwekwe kila km 100 barabara za mikoani.
 
nchi yetu bado maskini sana.. huwezi kunikazia kunipiga fine sababu rangi ya gari yangu imepauka, au nimepita wrong way..hakuna kupeana elimu, ni kusubiriana kwenye kona tu ..kama kweli issue ni kubwa kama taiti, taa kwa usiku atleast muandikie mtu notification, kwamba ameingizwa kwenye system kwamba ana tatizo fulani. amepewa siku tatu arectify..baada ya siku ya tatu akikamatwa tena ndo apewe penalty.
 
Wahuni wale walikua hawapunguzi ajali Wala nini. Ajali ya gari la wanafunzi Mtwara isingetokea Kama Hawa Wala rushwa wangekua wanakagua magari.

Nimpongeze IGP kwa hatua hii nzuri hasa kumuondoa trafik mmoja wa kike pale Ruvu jirani kabisa na hoteli ya JKT.

Mpangieni Yule mla rushwa kulinda nyumba ya DC wa kike awe anasikiliza miguno usiku.

Aliringa utafikiri daraja la Ruvu kalijenga babake.
Kuna mmoja huku barabara ya Kahama Shinyanga anaitwa NASSORO alikuwa na uonevu uliopitiza nafikiri na yeye atashughulikiwa ipasavyo ,Mwanakondoo ameshinda ,tumfuate.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mh. Kinana ongea na IGP amewasahau Tigo wasumbufu sana wanapendelea kua maeneo ya Oysterbay wawili nikiwakuta nitawavizia niwapige picha

Wale uwa wanajifanya ni traffic wanaomba na driving license Kazi Yao ni ipi
 
Back
Top Bottom