daizouh
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 525
- 596
DuuhMimi sina maneno mengi wakuu lakini usilinganishe mambo ya Petroli na vitu vya ajabu ajabu 😆
View attachment 3342339
DuuhMimi sina maneno mengi wakuu lakini usilinganishe mambo ya Petroli na vitu vya ajabu ajabu 😆
View attachment 3342339
Mamaeee....Hapo Bado Marupupu,,,Semina,,Warsha Mbalimbali,,Matamasha,,Za Ukwapuaji+Dili...."Kazi Na Utu Tunasonga Mbele"Mimi sina maneno mengi wakuu lakini usilinganishe mambo ya Petroli na vitu vya ajabu ajabu 😆
View attachment 3342339
Toa mchanganuo huo mshahara ni wa Mwezi, Robo mwaka au Mwaka mzima? Ukizingatia huo ulikuwa ni mwaka 2014 kwa mujibu wa hiyo document ya kuokoteza mtandaoni.Mimi sina maneno mengi wakuu lakini usilinganishe mambo ya Petroli na vitu vya ajabu ajabu 😆
View attachment 3342339
TRA ukipata Mrija in a year unasimaisha ghorofa! TPDC hakuna Rushwa hata mia, rushwa kubwa wanakutana nazo watoa maamuzi! TRA officer wa kawaida unakutana na rushwa ndogo ndogo kwa kipindi kirefu!!wakuu wapi kuna asali maana jamii forum hakujawai kosekana jibu kati ya TPDC vs TRA
Toa mchanganuo huo mshahara ni wa Mwezi, Robo mwaka au Mwaka mzima? Ukizingatia huo ulikuwa ni mwaka 2014 kwa mujibu wa hiyo document ya kuokoteza mtandaoni.
Usichokijua nini mkuu. Kwenye mfumo wa serikali kila mfanyakazi wa umma ametengewa bajeti ya mshahara wake wa mwaka. Utakuta mfanyakazi ametengewa milioni 24 kwa maana kila mwezi analipwa milioni 2.Nadhani Tanzania wanalipa mshahara kwa robo na mwaka mzima basi itakua huo ni mshahara wa mwaka🤡🤡🤡
MWAKA NAKATAA ..HIYO NI KWA MWEZI MZEE MKURUGENZI HAWEZI KULIPWA 3M KWA MWEZINadhani Tanzania wanalipa mshahara kwa robo na mwaka mzima basi itakua huo ni mshahara wa mwaka🤡🤡🤡