Berryblack
Member
- Oct 3, 2022
- 65
- 99
wakuu wapi kuna asali maana jamii forum hakujawai kosekana jibu kati ya TPDC vs TRA
TAMISEMI 🤣🤣🤣Sisi wa tamisenga tunapita kimyakkimya kwenye uzi huu kama tunaaga maiti
Anafanya kuchagua tuUmepata kote?
Umepata kote?
Hapa sijui nani atakua na taarifa tusubiri wakienda mafunzo tuKwani matokeo ya oral TRA tayari?
HahahaaaaHapa sijui nani atakua na taarifa tusubiri wakienda mafunzo tu