cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,706
- 189,026
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] momentum aiiiiihKama huyu National Anthem inaonekana anaweza kuapply law za physics kwenye minyanduano[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] momentum aiiiiihKama huyu National Anthem inaonekana anaweza kuapply law za physics kwenye minyanduano[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni noumaaaahNyumbani nilidanganya nasoma masomo ya udaktari kumbe nishaama kitambo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongeraaaaNiliowafundisha masomo ya preform one kwa sasa wapo US mimi nimebaki TZ
Nilisoma O level kwenye shule ambayo sisi tulikuwa waanzilishi...
Kufika form II mwalimu akapata kitoto tumboni mara akagoma kutufundisha hisabati nikakosa msingi wa hesabu lakini form IV haikuwa haba chuo niliondoka na B+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfecane War
Duuh 😂😂😂 kuna shida sana.Genius kweli kupata A ya hesabu miaka ya 2006 kushuka chini sii mchezo mchezo japo hadi leo madogo wanafeligi tu na material zipo za kutosha sijui shida ipo wapi kama 2021 81% ya wanafunzi 0 level wamepiga F mkuu ya mathe percent 4 walipata A mimi mtoto wa mama mdogo ana 1 ya 12 kama liza last year ila Physics ana F hesabu ana D nilitamani nimzabe kibao japo Mimi sio mzazi wake
Like seriously bro [emoji19][emoji19][emoji19]
Sawa sawa Music DoctorMind you, chuo nimesoma MD (5 years + 1 year internship).
GooodNimepiga Business combination, commerce nlikua nalipua A tupu o level, zngne Bk na number ilikua average, ila commerce nilioa kabisa iyo 2014, advance sasa nikaambulia C flat iyo 2016 one ya kinyonge
Kuna paper la history 2009 match item ni miaka tuu weeeeh utoboi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
History jaman uwaze kukariri matukio na miaka.
Khaaaaa
Shukran kiongoziGoood
Wala sio ugenious, yaani hesabu mimi was my weakest point. Kwanza mitihani ya shule ukiangalia ripoti zangu form 1 hadi 4 hesabu nilikua always na score C, sijawahi kuwa hata na B ya hesabu kwenye ripoti, na hilo ndo somo nililokua nafanya vibaya zaidi.Genius kweli kupata A ya hesabu miaka ya 2006 kushuka chini sii mchezo mchezo japo hadi leo madogo wanafeligi tu na material zipo za kutosha sijui shida ipo wapi kama 2021 81% ya wanafunzi 0 level wamepiga F mkuu ya mathe percent 4 walipata A mimi mtoto wa mama mdogo ana 1 ya 12 kama liza last year ila Physics ana F hesabu ana D nilitamani nimzabe kibao japo Mimi sio mzazi wake
Like seriously bro [emoji19][emoji19][emoji19]
Duuuh kongole kwako mkuuu 🔥 🤒 umekaa kimkakati kwelikweli 😕Wala sio ugenious, yaani hesabu mimi was my weakest point. Kwanza mitihani ya shule ukiangalia ripotinzangu form 1 hadi 4 hesabu nilikua always na score C, sijawahi kuwa hata na B ya hesabu kwenye ripoti, na hilo ndo somo nililokua nafanya vibaya zaidi.
Ila nilikua na mkakati kabambe, hesabu O level yote mimi nimeisoma kwa lengo moja tu, kufaulu NECTA. Yaani kila siku nilikua najiandaa kuikabili NECTA. Hata ukinikurupua any time nilikua najua Topics za maswali ya Section B. Nilikua na plan yangu kabisa kuwa section B nafanya maswali gani, na pia nilikua naanzia section B. Section B nakumbuka ilikua na marks 40, maswali 6, ila unachagua manne. Ile NECTA nina uhakika section B kama niliacha marks hazizidi 5.
Ile A ya hesabu NECTA hadi mzee alishtuka, hakuitegemea alikua anajua mimi hesabu sina changu.
Ile pepa niliifaulu kwa mikakati ya muda mrefu sana.
Nalikumbuka vyema kwenye review asee ni kisanga 10 marks zimeenda na maji kabisa hata ftna 2017 history si haba daaah mi haya masomo ya miaka na. Mambo ya story story siyapendi wala nnKuna paper la history 2009 match item ni miaka tuu weeeeh utoboi
Siyo mbaya c flat kwa mwaka huo ata 1 ya 3 ECA haikuepoNimepiga Business combination, commerce nlikua nalipua A tupu o level, zngne Bk na number ilikua average, ila commerce nilioa kabisa iyo 2014, advance sasa nikaambulia C flat iyo 2016 one ya kinyonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nomaa na nusu.Kuna paper la history 2009 match item ni miaka tuu weeeeh utoboi
Ilikuwa somo ganiSchrodinger Equation; sijui kama bado inafundishwa high school siku hizi
A-level physics yote tu, ilinikimbiza balaa, naiota Hadi leoSalaam wana jamvi,
Matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea. Straight to the point, tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II, share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako.
Its very much trueIla Tombilo na appreciate efforts zako mkuu numbers talks well