National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Nabadae alirudi Tz na akawa ni mfanyakazi alie chini yangu, ila ............🥸🥸🥸🥸Yupo wapi... !? America ya mbali
Nabadae alirudi Tz na akawa ni mfanyakazi alie chini yangu, ila ............🥸🥸🥸🥸Yupo wapi... !? America ya mbali
Yes kabisa tena napataga wenye matako makubwa ila sura 🤮🤮🤮🤢🤢 aah inakatisha stimu sana nina nyota chafu hapo kwenye kupata mwenye sura nzuriHapo sasa.....😂😂😂😂 Sawa si wakupambania acha tutoe tuu
Watuchune weee mpka basi ila uhakika upo wa kupata 😂😂
Malizia hapo kwenye .....Nabadae alirudi Tz na akawa ni mfanyakazi alie chini yangu, ila ............🥸🥸🥸🥸
Ila nini ....Nabadae alirudi Tz na akawa ni mfanyakazi alie chini yangu, ila ............🥸🥸🥸🥸
Na sisi tunaangalia hayo hayo ma youtong... Sura hapana😂😂😂Yes kabisa tena napataga wenye matako makubwa ila sura 🤮🤮🤮🤢🤢 aah inakatisha stimu sana nina nyota chafu hapo kwenye kupata mwenye sura nzuri
Topic zifuatazo za hesabu zilinitesa sana:Salaam wana jamvi,
Matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea. Straight to the point, tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II, share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako.
Ungekaza....Topic zifuatazo za hesabu zilinitesa sana:
1.Trigonomtric ratio-Hizi swali lake nilikua hata sijisumbui kabisa kugusa, likiwa section A nahesabu tu hizo marks nimezikosa. O level yangu nzima nimesoma Maths, sijawahi kufanya swali la Trig.
2.Circles-Hizi pia nilikua sizigusi kabisa. Uzuri hizi karibu mara zote zilikua zinatoka section B, ambayo ilikua ni section unachagua maswali manne kati ya sita ambayo umepewa, so nilikua na luxury ya kutoligusa. Hii topic sikuisoma kabisa, na wala sijawahi kuligusa swali lake pia
Circle 2019 haikutoka necta ilaaaa 🤣🤣 🤺 trig mbona sexy sana tuTopic zifuatazo za hesabu zilinitesa sana:
1.Trigonomtric ratio-Hizi swali lake nilikua hata sijisumbui kabisa kugusa, likiwa section A nahesabu tu hizo marks nimezikosa. O level yangu nzima nimesoma Maths, sijawahi kufanya swali la Trig.
2.Circles-Hizi pia nilikua sizigusi kabisa. Uzuri hizi karibu mara zote zilikua zinatoka section B, ambayo ilikua ni section unachagua maswali manne kati ya sita ambayo umepewa, so nilikua na luxury ya kutoligusa. Hii topic sikuisoma kabisa, na wala sijawahi kuligusa swali lake pia
Mmmh hapana yanipite mbali kabisa 😹😒Na sisi tunaangalia hayo hayo ma youtong... Sura hapana😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mmmh hapana yanipite mbali kabisa 😹😒
Mimi hesabu niliisoma kismart sana mkuu. Ile wanasema "work smart". Nilinyoosha banda langu O level. Enzi hizo banda banda kweli, sio sasa hivi mzee baba. Nilikua naisoma hesabu kimkakati sana. Section B najua maswali yangu:Ungekaza....
2019 mimi niko kazini mwaka wa saba mkuu. Sisi wakongwe sio wa juzi juzi kama nyie.Circle 2019 haikutoka necta ilaaaa 🤣🤣 🤺 trig mbona sexy sana tu
Mmmmh geniousMimi hesabu niliisoma kismart sana mkuu. Ile wanasema "work smart". Nilinyoosha banda langu O level. Enzi hizo banda banda kweli, sio sasa hivi mzee baba. Nilikua naisoma hesabu kimkakati sana. Section B najua maswali yangu:
-Simultaneous equations
-Linear Programming
-Probablity
-Functions
-Sets
Looh hivyo o level umeua 2006 sio zamani sana ndo kwanza ninamiaka 3 [emoji19][emoji19][emoji19] kongole kwako mkuuu2019 mimi niko kazini mwaka wa saba mkuu. Sisi wakongwe sio wa juzi juzi kama nyie.
Mind you, chuo nimesoma MD (5 years + 1 year internship).Looh hivyo o level umeua 2006 sio zamani sana ndo kwanza ninamiaka 3 [emoji19][emoji19][emoji19] kongole kwako mkuuu
Genius kweli kupata A ya hesabu miaka ya 2006 kushuka chini sii mchezo mchezo japo hadi leo madogo wanafeligi tu na material zipo za kutosha sijui shida ipo wapi kama 2021 81% ya wanafunzi 0 level wamepiga F mkuu ya mathe percent 4 walipata A mimi mtoto wa mama mdogo ana 1 ya 12 kama liza last year ila Physics ana F hesabu ana D nilitamani nimzabe kibao japo Mimi sio mzazi wakeMmmmh genious
Aaah basi ni 2000 mkuu au 1998Mind you, chuo nimesoma MD (5 years + 1 year internship).
History hater tupo wengi kumbe 😹😹Mfecane War
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibuuNa mi najiunga na nyie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]