Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Muhas wangenimalizia Kabisa Kmmke...Maana nilikua nimebaki sindano

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app

Aah msuli wa Muhas ni Mungu tu anayefahamu kuna demu namjua alikuwa wa 8 tz form 4 form 6 akapiga 1 ya 4 B ya physics

Ila akaenda muhas alikonda kama pipi japo alikuwa anatusua ila cha moto alikiona kaolewa mwaka jana mkuuu

Saivi kajaxia kidogo minyama nyama

Muhas sio pa mchezo
 
IMG_4746.jpg

IMG_4747.jpg

IMG_4748.jpg
 
Sasa madam Dr had afuatilie tetemeko LA turkey leo hyoo??
Yes maana atakutana na Arabian Plate,African Plate na Eurasian Plate.Halafu Pale lilipotokea tetemeko ni Anatolian plate. Juu Anatolian block inamove kwenda towards mediterranean sea,halafu kuna Faults kaskazini na mashariki ya hiyo Anatolian Block. Hapo ndo mziki upo. Hapo matetemeko si jambo la kushangaza kwa sababu tecnotic activities zipo active.
 
Aaaaaaah mlisoma practically nini..!?
Kwani umesahau?Kwenye fault zones ndo tectonic activities zipo active. Sasa pale lilipotokea tetemeko kuna makutano ya African plate, Arabian plate na Eurasian plate. Na lilipotokea kuna Anatolian plate na kuna major faults mbili. Kaskazini na mashariki .Huko vizazi vijavyo like 100 milllion years to come vitakuta anatolian block ilishakuwa kisiwa .
 
Umeiva hadi unataka kuungulia ahahahaha😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom