Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Kuna huyo mmoj tulipiga nae intern yuko vizur balaa...Na bro Wang nae alipiga muhas yuko vizur sana ile misuli hiwa haitembei bure

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kweli mkuuu lakini nimekujaa kugundua kila mtu anamnyonge wake
Kwenye category hii
1. Anajua sana masomo ya kukariri kama hkl au hge yupo gud sana ila kwenye sayansi na hesabu hola
2. Mwingine vizuri kwenye pcm,pcb ila kwenye masomo ya kukariri hola

Ila conclusively mi naona mtu akijua na akifaulu vizuri sayansi arts na biashara ni mseleleko kwake
Mi namshukuru Mungu sana nilipiga PCM A level alfu chuo saivi napiga ishu zingine yaani mambo yangu ni marahisi sana sayansi inapanua sana ubongo wa mtu mkuuu

I'm grateful 😑
 
I'm grateful
Kaka Nimecheka kwamba inapanua ubongo...Hongera kaka in life kitu kikubwa ni kusoma kile Moyo na akili vimeafiki....PCM nayo so mchezo aisee...

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom