Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Math kuanzia Chekechea mpaka chuo kikuu sikuelewa subtopic inayoitwa Congruence ,ipo form two.

Hii ilinipita kushoto,nilikuwa napata maswali niliyowahi ona yamesolviwa kwenye kitabu.Likitoka jipya naachana nalo nafanya swali linalofuata.
 
Aah msuli wa Muhas ni Mungu tu anayefahamu kuna demu namjua alikuwa wa 8 tz form 4 form 6 akapiga 1 ya 4 B ya physics

Ila akaenda muhas alikonda kama pipi japo alikuwa anatusua ila cha moto alikiona kaolewa mwaka jana mkuuu

Saivi kajaxia kidogo minyama nyama

Muhas sio pa mchezo
Muhas Pa Moto sana Mkuu...Nilikua hata sipataki but I always committed to go and do my best kule medical school hata kama ingekua wapi I just wanted to become the best version doctor of myself ila sio pale Muhas uanze kuwaza kuliwa kichwa Mapema

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Aah msuli wa Muhas ni Mungu tu anayefahamu kuna demu namjua alikuwa wa 8 tz form 4 form 6 akapiga 1 ya 4 B ya physics

Ila akaenda muhas alikonda kama pipi japo alikuwa anatusua ila cha moto alikiona kaolewa mwaka jana mkuuu

Saivi kajaxia kidogo minyama nyama

Muhas sio pa mchezo
Nimecheka kwamba alikonda kama pipi...alafu wale ma prof wana sifa sana kaka...Kuna mmoja alitaka kunila kichwa clinical kizembe kisa nimechanganya kernign na brudzinski sign kwa cryptococo men pt sababu hujamaliza ku examin hiki unaambiwa hiki nilidata...kule ni vita

Ulienda muhas mkuu au

Yes maana atakutana na Arabian Plate,African Plate na Eurasian Plate.Halafu Pale lilipotokea tetemeko ni Anatolian plate. Juu Anatolian block inamove kwenda towards mediterranean sea,halafu kuna Faults kaskazini na mashariki ya hiyo Anatolian Block. Hapo ndo mziki upo. Hapo matetemeko si jambo la kushangaza kwa sababu tecnotic activities zipo active.
Ni kweli kabisaaa.
 
Nimecheka kwamba alikonda kama pipi...alafu wale ma prof wana sifa sana kaka...Kuna mmoja alitaka kunila kichwa clinical kizembe kisa nimechanganya kernign na brudzinski sign kwa cryptococo men pt sababu hujamaliza ku examin hiki unaambiwa hiki nilidata...kule ni vita

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
daah hapana asee ndo maana bios niliisukumia mbali kwanzia form 2

Hii ni id yangu mpya mkuu hiyo imepigwa ban usiku wa jana
 
Ulienda muhas mkuu au

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
No sikuenda ila kuna mashkaji zangu walienda wa batch ya juu niliyosoma hata huyo demu

Kuna mdau wangu mwingine wa corona batch alipiga 1 ya 6 PCB alienda huko ndo alikuwa ananipa mastory watu wako serious

Huwezi amini yeye ndo alikuwa kilaza darasa lao mwanzo maana hamna mwenye 1 chini ya 5 corona batch just imagine ye mwenyewe aliponea chupu chupu daah

Wakati skonga yeye ndo alikuwa bichwa letu pale
 
Mzee ni hatari Sana....Pale ni balaa Sana yani ni pamoto balaa...ila wana wengi wanakua vzur japo med school ukikaza unatoboa tu japo kwa joto kali

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom