Sema wanangu nimegundua ukisoma vitu vigumu A level alagu chuo ukasoma course rahisi kama za computer au za biashara au zozote zile yaani kufaulu kupo nje nje wanangu yaani mi chuo sina stress kabisa daah yaani masomo magumu A level yana panua sana akili
Shule niliyosoma kuna batch ya 2017 janaa alipiga
Physo A
Chem B
Mathe C
Akachukua petroleum engineering na CPA yaani mwamba kafaulu kinoma CPA alichukua best student kabisa kawafunika hadi wale na t.o wa biashara kabisa yupo B.O.T saivi
Hivyo masomo ya sayansi yana umuhimu wake sana tu