Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,661
- 184,067
Wengine wanaume hapo, wana ID za kike [emoji28][emoji28][/
Haha yashakukuta nini??
Wengine wanaume hapo, wana ID za kike [emoji28][emoji28][/
Haha yashakukuta nini??
Nashukuru sana na wewe piaMi lin huwa nabarikiwaga sana na comments zake yani hakuna comment yake isiofanya siku yangu kuwa nzuri kutabasamu kama si kucheka kabisaa Popote ulipo nakutakia heri ya Christmas na mwaka mpya
Mjini hapa matapeli wengi tu,
Unajua unachati na mtoto mzuri kumbe kidume kinakuchora tu
Hii listi yako sio mbaya ni nzuri, ila imepungukiwa na chumvi kwa kukosekana kwa Shunie.Habari zenu wakuu
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha
1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta
Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu
Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.
Alikuomba papuchi????itakuwa umebaki pekee yako usiyejua hilo
Mkuu Lara1 ajumuishwe kwenye orodhaHabari zenu wakuu
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha
1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta
Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu
Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.
Thanks my dear one mamaafacebook II .....simu yangu majangaAm humbled naanzaje kuacha kukushuru DJ ulieniokoa siku zile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binafsi Mimi list yangu n hii
1. Heaven Sent
2. niffah
3.@evelyn salt
4. Miss Natafuta
5. @genivorous
6. Madame B
7. scorpio me
Mie ningeishamtimua kabisaSiku ingine mpk saa tatu km usipomuamsha ndo anaamka na hapo anaanza usafi nikiwa kazini lunch saa kumi kila siku!
naongea mpk nakaa kimya mwenzenu!
We unatimuaga kwa vitendo, hauongei[emoji12] [emoji12]Mie ningeishamtimua kabisa
Hata mie nimekumiss mtoto mzuri.Uko poa?We unatimuaga kwa vitendo, hauongei[emoji12] [emoji12]
Alafu kama nimekumiss hivi!!!
Ok salamu zitamfikia bila chenga[emoji6]Mungu aliagiza tupendane,nampenda kila mtu.