Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

halaf haoni aibu kuongea ila kiboko yake milly tzshaderoom anajua mnyoosha mange kiboko [emoji28] anajisifia kabisa na viporo vyake vya week
yaani angejua ratiba yangu mm...!!

na napika kila siku
binti anaosha vyombo tu n kujaza maji na msichana wangu anaamka saa mbili asubuhi..

NIMECHEKA KWELI YAANI ANGEKUWA YUPO SINGLE SAWA ILA WATOTO UNAWAPASHIA TU VITU VYA JUZI JAMANI
 
yaani angejua ratiba yangu mm...!!

na napika kila siku
binti anaosha vyombo tu n kujaza maji na msichana wangu anaamka saa mbili asubuhi..
geni yule dada sijampatia mwenzie hana kitu cha kumkeep busy lkn ndio maviporo ya week angeona ata aibu asitupostie lkn yy wala hajari
 
yaani angejua ratiba yangu mm...!!

na napika kila siku
binti anaosha vyombo tu n kujaza maji na msichana wangu anaamka saa mbili asubuhi..
MIMI CHAKULA KILILALA SIWEZI KULA KABISA AU KITU KIKIKAA MUDA MREFU SIKITAKI HATA KUKU NIKITAKA KUMLA NAMCHINJA MWENYEWE SIPENDI WA BUCHANI AU SUPERMAKET
 
YULE SHOST ANA KICHAA YAANI HATA FRIJI LIWE OG VIPI HUJANILISHA CHAKULA CHA WEEK MIE NAPENDA VITU FRESH SANA YAANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachokiona Kwa mange maisha yameanza kumkaba Koo et leftovers zina virutubisho hahahhahhahahahhaha hana haya pole yake
uvivu anajifanya yuko ulaya na timetable yake fake
 
geni yule dada sijampatia mwenzie hana kitu cha kumkeep busy lkn ndio maviporo ya week angeona ata aibu asitupostie lkn yy wala hajari
mvivu mnoo..

anawish maisha asiyofanana nayo...

mwanamke mnafiki,mbea,mfitini looh!
lance alibugo mno
 
Aisee binamu unamdekeza sana msichana wako yani anaamka saa mbili?
KUNA MAMA NILIKUWA NAKAA KWAKE SAA MOJA BEKI TATU KESHAMALIZA KAZI ZOTE SIJUI ALIKUWA ANAAMKA SAA NGAPI MAANA NYUMBA NI KUBWA KWELI.ACHA TU AAMKE SAA MBILI WANAPITIA MENGI.ILA HUJAULIZA ANALALA SAA NGAPI LABDA ANAKUWA NA ZAMU YA ULINZI USIKU
 
MIMI CHAKULA KILILALA SIWEZI KULA KABISA AU KITU KIKIKAA MUDA MREFU SIKITAKI HATA KUKU NIKITAKA KUMLA NAMCHINJA MWENYEWE SIPENDI WA BUCHANI AU SUPERMAKET
Weeee kiporo kitamu bana.

Pilau lililolala halina mpinzani.

Maharage ya nazi yaliyolala hayana mpinzani.

Acha maskhara bana.
 
Umetumia vigezo gan!?
Mi sikubali hiyo list, ntapanga yangu

Yaani wewe vigezo huvioni hapo: kuelimisha, kuburudisha, kuonya, na kutia nguvu wakati wa kukata tamaa.

Labda tuwaulize na wao kama wanaendana na vigezo vya huyu bwana ingawaje ni kweli wengine wametoa threads mfano ya darsa ya [HASHTAG]#faiza foxy[/HASHTAG] yenye views karibu zaidi ya 150,000.

[HASHTAG]#heaven sent;[/HASHTAG] [HASHTAG]#faiza foxy; [/HASHTAG]
[HASHTAG]#nifah[/HASHTAG] [HASHTAG]#geniveros[/HASHTAG] [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] [HASHTAG]#evelyn salt[/HASHTAG] [HASHTAG]#atoto[/HASHTAG] [HASHTAG]#afrodenzi[/HASHTAG] [HASHTAG]#miss natafuta.[/HASHTAG]
 
Aisee binamu unamdekeza sana msichana wako yani anaamka saa mbili?
Siku ingine mpk saa tatu km usipomuamsha ndo anaamka na hapo anaanza usafi nikiwa kazini lunch saa kumi kila siku!

naongea mpk nakaa kimya mwenzenu!
 
MIMI CHAKULA KILILALA SIWEZI KULA KABISA AU KITU KIKIKAA MUDA MREFU SIKITAKI HATA KUKU NIKITAKA KUMLA NAMCHINJA MWENYEWE SIPENDI WA BUCHANI AU SUPERMAKET
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] viporo vya ulaya ni health kwa watoto jamani vya bongo vyetu ndo vibovu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachokiona Kwa mange maisha yameanza kumkaba Koo et leftovers zina virutubisho hahahhahhahahahhaha hana haya pole yake
 
Maisha yanampiga chezea zile n stress tu za Kua single mother Bila kujiandaa
alidhani kakutana na bill gate.nasikia harusi yake alliagiza viti vya kukalia kwenye party yake dubai na harusi ilivoisha akavigawa bure .lance alikuwa na hela kipindi hicho mamaa mashauzi akazichezea .nakumbuka ile lv bag yake alisema kanunua m 21 sinaga hamu nae
 
mvivu mnoo..

anawish maisha asiyofanana nayo...

mwanamke mnafiki,mbea,mfitini looh!
lance alibugo mno
mvivu sana unakumbuka picha yake moja iliwekwa yupo na laptop chini kuna diaper ya keanu na ndala za papa na nguru [emoji28]
 
Back
Top Bottom