Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

Usiseme angalau shem, sema nakukumbuka sana.
Tunaumaliza mwaka 2016 tukiwa tuko poa sana, natumaini 2017 itakuwa poa zaidi.
-peace & love[emoji111]
you can say it again. Peace and Love

thanks much my shem wa ukweli.
 
Umemsahau Mamndenyi
Habari zenu wakuu

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha

1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta

Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu

Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.
 
Back
Top Bottom