Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

asante ila najiona wa kawaida sana sistahili compliment zenu jamani ila asanteni kama mnaniappreciate maana najua huku nachukiwa sana
Mamy huwezi kujijua una machango gan Kwa jamii inayokuzunguka ila wale wanaokuzunguka ndio wajuao
 
yule jamaa yako yupo wapi mkuu?
Uliniambia kuwa umemtuliza na katulia eenh1 na mimi nilikuambia kama anakauzembe niambie nije kukuchukua achana na huyo anamokosi ya wanawake hawezi kaa nao muda mrefu au na wewe ndio unapenda wa hivyo?
 
jamaa bna nikimuambia tukutane ndo tutoe maamuzi anadai yeye ni msabato jmosi yupo kanisani basi nikamuambia na jpili na mimi nipo kanisani kwa hyo tukaachana hivo .mission immposible.sipendi mtu mbinafsi mimi .anataka tufate ratiba yake tu haangalii wengine kila mtu abaki tu na mishe zake
 
Back
Top Bottom