Top 10 of best female JF members

Habari zenu wakuu

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha

1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta

Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu

Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.

Heri ya mwaka mpya na kwako pia Pure nomaa
 
Back
Top Bottom