Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

HEEE INA MAANA WENGINE HATUPO VIBAYA HIVYO
Habari zenu wakuu

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha

1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta

Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu

Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.
 
Ikifika zamu ya JF Top 10 best male
1. Iceman 3D
2. Hance mtanashati
3. Peninsula
4. Gbefa
5. Zamiluni zamiluni
6. Bonny
7. Daby
8. STUNTER
9. Ushimen
10. QUIGLEY

List yangu mimi supermarket.
1. Shunie
2. Mamaafacebook II
3. Sakayo
4. Miss chagga
5. Geniverous
6. _aysher
7. Aishah2016
8. Ukhuty
9. Atug
10. jje's
Sorry mkuu supermarket........ hizi list mbona kama hazina 'watu wazima'
 
Mwisho wa kiporo masaa 12?

Ah wapi....watu huwa tunakula viporo hadi vya siku mbili na huwa ni vitamu balaa na hakuna madhara yoyote yale.

Wang'wise ushawahi kula nyama choma iliyokaa siku mbili mpaka tatu? Au mahindi mabichi yaliyochemshwa ukayaweka pending siku moja ivi? Aise tam ni balaa,
 
Habari zenu wakuu

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha

1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta

Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu

Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.

Huyo namba sita [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] anaonekana ni polite (kwa mujibu wa writing tone yake) kwa sababu hajawahi kunijibu vibaya au kwa mkato mara ilipotokea nina argue nae one-on-one!
 
Back
Top Bottom