Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Tatizo la miss chagga anawapa raia maumivu sana wewe unajua mpenzi wako kumbe sio...Mimi nimemtumia sms ya talaka juzi...Demu wangu wa zamani miss chagga hayupo....sikubali
Tatizo la miss chagga anawapa raia maumivu sana wewe unajua mpenzi wako kumbe sio...Mimi nimemtumia sms ya talaka juzi...Demu wangu wa zamani miss chagga hayupo....sikubali
tehe tehe teheMwenye elf 10 naomba aniazime.....
Mama kenzo a.k.a Mrs RolexHuyo Ndio bibi kenzo?
tehe tehe tehe au mko shunie wawili? si ulituambia wewe ni mwanaume ila unatumia avatar ya bae/mke wakoMakubwa haya tokea lini mm au sbbu ya yule chizi kutumia avatar yangu
Uliona mm ndio niliandika ungesoma jina la aliyeandika yule kaka alitumia avatar yangu wanaonijua wanajua mm ni jinsia gani sio unakurupuka tu na nilikuja mpk kwenye thread ya yule chiz aliyekua anatumia avatar yangutehe tehe tehe au mko shunie wawili? si ulituambia wewe ni mwanaume ila unatumia avatar ya bae/mke wako
aisee ww dada umetumwa auitakuwa umebaki pekee yako usiyejua hilo
am so sorry if i have offended uUliona mm ndio niliandika ungesoma jina la aliyeandika yule kaka alitumia avatar yangu wanaonijua wanajua mm ni jinsia gani sio unakurupuka tu na nilikuja mpk kwenye thread ya yule chiz aliyekua anatumia avatar yangu
am so sorry if i have offended uaisee ww dada umetumwa au
Maji ya mendeKweli Magu kabana...leo hii unakunywa maji badala ya beer ama kitochi?
i'm used toam so sorry if i have offended u
angalau umenikumbuka shem, nilitaka nikate rufaa maana hata bae mwenyewe cjui kamtaja nani vile? STUNTERList yangu mimi supermarket.
1. Shunie
2. Mamaafacebook II
3. Sakayo
4. Miss chagga
5. Geniverous
6. _aysher
7. Aishah2016
8. Ukhuty
9. Atug
10. jje's
Usiseme angalau shem, sema nakukumbuka sana.angalau umenikumbuka shem, nilitaka nikate rufaa maana hata bae mwenyewe cjui kamtaja nani vile? STUNTER
huhuhuhuhhhhhh lovely. ok nimekusamehe hadi tarehe 31 dec 2016. chochote utakachokosea mimi nasamehe kabla hujaomba msamahaKama ningetakiwa kuandika list basi kuanzia namba moja mpaka 10 ungekamata wewe, so huenda watu wangeniona mchochezi