Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
mungu wako kama HANA UWEZO WA kuvaa Mwili wa KIBINADAMU Huyo sio MUNGU MUWEZA ilaha is as popo bawa
emoji12.png
na YEYOTE anaye TAMKA kwamba MWENYEZI MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MWANADAMU KAMILI NA MUNGU KAMILI! Huyo NI kafir innsui
emoji44.png
kuna watu HUMU NI waajabu sana
emoji12.png
mzee wa busara akigeuka nyau WANAAMINI kabsa ilaha ila MWENYEZI MUNGU kujidhihirisha KTK UMBILE BORA LA KIBINADAMU HAWEZI
emoji12.png

Wewe unaakili , Hivi mungu anaweza kuwa shoga?? Au mwari?au jibwa ukamfanya mboga?

Vipi uncreated iwe created ??
 
Wewe unaakili , Hivi mungu anaweza kuwa shoga?? Au mwari?au jibwa ukamfanya mboga?

Vipi uncreated iwe created ??
Akili za kuzimu ndizo Ulizo zivaa [emoji44][emoji12] UNAELEWA NINI UNAPO SIKIA KWAMBA MUNGU NI "MTAKATIFU?" Ulicho andika hata ibilisi HANA ujasiri wa KUTAMKA kihivyo [emoji44][emoji12] nakushangaa UNAPO funua bakuli lako kumtukana MUUMBA WAKO ANAYE KUPA RIZKI! Nimeamini KWELI kafir HANA mkole [emoji12][emoji33][emoji33][emoji33]
 
Wewe unaakili , Hivi mungu anaweza kuwa shoga?? Au mwari?au jibwa ukamfanya mboga?

Vipi uncreated iwe created ??
Eti Allah anashuka kila siku usiku ili awasikilize binadamu , waislam ni waku waone huruma tu

Pata nondo apo zinazo sema Allah hasikii mpaka ashuke

Quran ilikuja wakati wa Mtume s.a.w, na wewe umemwita mtume, kwaio tayari umetambua kuwa yeye ni mtume wa Mungu.

Bibilia haikuwepo wakati Yesu, ilikuja kuandikwa baada ya miaka kupita, sasa nyie mnainasibisha na Yesu, Quran imekuja kuwaweka sawa.

Hata hivo, Sio Quran tu inapinga Uungu wa Yesu, hata Bibilia nayo pia inapinga na kukufundisha kuwa alikuwa mtume tu. 🙂
Mitume wako wengi hapa. Hata wachawi wanamtume wao. So kusema mtume ni mtu anaetumwa kwa ajili ya Jambo fulani.
Kaiulize quraan kwamba nani atakuja kuhukumu ulimwengu nae atakuwa na mamlaka gani?
 
Yesu wako anataka mchango wako wa pesa akanunue mifuko ya saruji akujengee nyumba mbinguni [emoji12] [emoji12]
Kwa waislam huyo ni Yesu wao kabisa wala hatubishani nao. Ila kwa wakristo wanajua majira na nyakati.
 
Akili za kuzimu ndizo Ulizo zivaa [emoji44][emoji12] UNAELEWA NINI UNAPO SIKIA KWAMBA MUNGU NI "MTAKATIFU?" Ulicho andika hata ibilisi HANA ujasiri wa KUTAMKA kihivyo [emoji44][emoji12] nakushangaa UNAPO funua bakuli lako kumtukana MUUMBA WAKO ANAYE KUPA RIZKI! Nimeamini KWELI kafir HANA mkole [emoji12][emoji33][emoji33][emoji33]

HAYA NI MASWALI NA HUJAYAJIBU

JIBU KAMA UNAO UBAVU

Hivi mungu anaweza kuwa shoga?? Au mwari?au jibwa ukamfanya mboga?

Vipi uncreated iwe created ??
 
Kwa waislam huyo ni Yesu wao kabisa wala hatubishani nao. Ila kwa wakristo wanajua majira na nyakati.

KUMBE WAISLAM NA WAO WANA PASTOR NA MAPADRI ?? , NDIVYO KANISA LAKO LINAVYOWAFUNDISHA ?

Wacha ubahili , katoe hela za mchango wa saruji na mabati , YESU WAKO AKUJENGEE NYUMBA MBINGUNI😛😛😛😛😛
 
HAYA NI MASWALI NA HUJAYAJIBU

JIBU KAMA UNAO UBAVU

Hivi mungu anaweza kuwa shoga?? Au mwari?au jibwa ukamfanya mboga?

Vipi uncreated iwe created ??

eti uncreated IWE created [emoji12][emoji23][emoji23] MUNGU NI MTAKATIFU MATENDO MATAKATINI TU NDIYO YANAMPENDEZA MUNGU[emoji106] Au ushoga kwa akili yako NI UTAKATIFU??[emoji44]
 
Eti Allah anashuka kila siku usiku ili awasikilize binadamu , waislam ni waku waone huruma tu

Pata nondo apo zinazo sema Allah hasikii mpaka ashuke

katoe mchango WA PESA ZA SARUJI ,UJENGEWE NYUMBA MBINGUNI NA YESU WAKO

eti uncreated IWE created
emoji12.png
emoji23.png
emoji23.png
MUNGU NI MTAKATIFU MATENDO MATAKATINI TU NDIYO YANAMPENDEZA MUNGU
emoji106.png
Au ushoga kwa akili yako NI UTAKATIFU??
emoji44.png

Unakimbilia Utakatifu , si ulisema mungu anaweza kujifanya mtu ??

Swali

UNCREATED inakuwa sawa na CREATED ??

Mungu anaweza akawa shoga, Mwari, Mlevi ?? Mbwa ukamgeuza mboga yako ??
 
Mitume wako wengi hapa. Hata wachawi wanamtume wao. So kusema mtume ni mtu anaetumwa kwa ajili ya Jambo fulani.
Kaiulize quraan kwamba nani atakuja kuhukumu ulimwengu nae atakuwa na mamlaka gani?

John 12:47-49

JESUS SAID

47"As for the person who hears my words but does not keep them, I do not judge him. For I did not come to judge the world, but to save it.

48There is a judge for the one who rejects me and does not accept my words; that very word which I spoke will condemn him at the last day. 49For I did not speak of my own accord, but the Father who sent me commanded me what to say and how to say it.

Matthew 19:28

Jesus said to them, "I tell you the truth, at the renewal of all things, when the Son of Man sits on his glorious throne, you who have followed me will also sit on twelve thrones, judging the twelve tribes of Israel.
 
Unakimbilia Utakatifu , si ulisema mungu anaweza kujifanya mtu ??

Swali

UNCREATED inakuwa sawa na CREATED ??

Mungu anaweza akawa shoga, Mwari, Mlevi ?? Mbwa ukamgeuza mboga yako ??
ww Huoni dalili allah Alipo jidhihirisha kama chaka linalo waka anaongea na musa wa koloani kule bonde la Tuwa?! Kama unamjua MUNGU nipe HEKIMA [emoji106]
IMG_20190804_083856_032.jpeg
IMG_20190804_084035_442.jpeg
 
John 12:47-49

JESUS SAID

47"As for the person who hears my words but does not keep them, I do not judge him. For I did not come to judge the world, but to save it.

48There is a judge for the one who rejects me and does not accept my words; that very word which I spoke will condemn him at the last day. 49For I did not speak of my own accord, but the Father who sent me commanded me what to say and how to say it.

Matthew 19:28

Jesus said to them, "I tell you the truth, at the renewal of all things, when the Son of Man sits on his glorious throne, you who have followed me will also sit on twelve thrones, judging the twelve tribes of Israel.
Ulicho andika nimekitafakari Nikapata dalili hizi [emoji117] MUNGU wa BIBLIA TAKATIFU HAKUJA DUNIANI KUJA KUHUKUMU! [emoji122][emoji122]BALI KUJA KUWAOKOA WATU WASIENDE MOTONI [emoji123][emoji123][emoji106][emoji116]mungu wa koloani lengo lake ni kuijaza jehannam na watu [emoji116]MUNGU amekupa akili bure mtu wangu![emoji106] changamsha akili hiyo bro usimfanye MUNGU aliye kupa hiyo akili NI dhalili [emoji12]
IMG_20190804_085921_257.jpeg
IMG_20190804_090459_926.jpeg
IMG_20190803_202937_044.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20190707_112553_628.jpeg
    IMG_20190707_112553_628.jpeg
    25.8 KB · Views: 12
Mudi kaleta haya ili kuoa mke wa mtoto wake

Muhammad alimpenda Zainab wakati bado alikuwa ameolewa na mtoto wake wa kulelewa. Nakala hii inazua juu ya harakati ya Muhammad ya Zainab, mke wa Zaid. Maquraishi inatuambia kwamba Muhammad alipokea vifungu vya roho kutoka kwa Mwenyezi Mungu akimpa ruhusa ya kumuoa binti-wake. Sio tu kwamba hii inazua maswali ya kimaadili juu ya tabia ya Muhammad, lakini pia inapeana tuhuma juu ya madai kwamba mafundisho yake yalikuwa ni ufunuo wa kimungu au ni njia nzuri kwa urahisi wa kibinafsi. Je! Mwenyezi Mungu angewezaje kuhamasisha aya katika Qur'ani zinazoruhusu tamaa ya mtu kwa mke wa mtu mwingine? Je! Dini linaloweza kupotoshwa kama hili linaweza kutoka kwa Mungu wa kweli?
- Ni vizuri kutambua kuwa mtume wetu ALIOA na hakuzini. Sijaona dini yoyote ambayo imekataza kuoa. Hapa huna hoja zaidi ya ujing.a Nilikwambia kuwa nyie hamujui kutofautisha ndoa na uzinifu, wengi wenu mmezaliwa nje ya ndoa, yaani wanaharamu. Sasa kama ameoa kosa lake liko wapi?

- Kwa bahati nzuri au mbaya, mtume wetu hakuwa na mtoto wa kiume, na kama alikuwa nae naomba umtaje jina basi tumjue.

- Labda tukuulize, huyo aliemuua ni nani?

Maliza ulichoanza basi kwanza...

Mungu wa wakiristo alisema:

Hesabu 31:18
Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
 
Back
Top Bottom