Nijibu basi haya maswali;
- Kama unajua kauvaa mwili wa binaadamu, kwanini sasa unamuabudu huyo binaadamu na sio Mungu mwenyewe?
- Kama Ameacha hayo mamlaka yake mbinguni, sasa wakati akiwa na tatizo au akitaka kusali huwa anamuomba nani ikiwa yeye mwenyewe yupo duniani?
- Ikiwa yeye mwenyewe yupo duniani, nani amemtuma kuwafikishia ujumbe waja wake? Anasema kuwa ametumwa, na hajajituma.
Nasubiri majibu.
Note: Hujachelewa kusilimu na wala usione aibu, achana na kengele za kanisa zinazowafanya muwe kama mahayawani na wajinga wa milele, Katika uislam unaitwa kwa adhana yenye kukukumbusha ibada, ukisilimu leo, dhambi zako za nyuma zote zinafutwa na unaanza kurasa mpya katika maisha yako. Wahi kabla ya kaburi kuja kukubana na ukakutana na adhabu za Mungu, usiseme hujaambiwa, mie ndio nishakwambia na Allah ndio shahid. Hakutakuwa na msamaha siku hio na hakutakuwa na pakukimbilia. Hutoweza kumudu adhabu za Allah. Tubu wakati ukiwa hai!