Bibilia ni kitabu mnachodai kimetoka kwa Mungu (ilhali hamujui hata nani kaandika). Kujidai kuwa eti wakiristo wanatumia bibilia tu, ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa. Kama hujui kamuulize padre wako akwambie kuwa zipo source nyengine ambazo zinatumiwa kama reference.
Mungu wako kampachika mimba katoto cha miaka 13 ili azaliwe 😀
Na kama haitoshi, bibilia ikwaamrisha kuwaua wanaume ili mjipatie VITOTO vya kike kwa ajili yenu 😀 Uchimvi mtupu kwenye bibilia.
Na hio hadithi ulioileta na ile ya mara ile twambie ni kwa mujibu wa akaunti ya nani? 😀 😀 😀 Swali limekushinda kujibu sio?
By the way, Ngono ukifanya na mkeo sio kosa, na ukiota unafanya ngono sio kosa wala sio dhambi. Tatizo lenu mshazoea kufanya uzinifu mkazaliwa na kuwazaa watoto wa nje ya ndoa sasa mnashindwa kutofautisha ndoa na uzinifu wenu 😀
Jibu maswali mchimvi