Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Hili la yesu kuitwa Mungu(john 1:1)...tuache mambo ya dini kwanza anaejua kiswahili naomba ufafanuzi kidogo jamani...Ni kweli ila kiswahili chake kinanichanganya!
 
Yeyote atakaemuamini Mungu ambae ni Allah, ila wewe humuamini Mungu wala mtume wake, unamwamini mtu aliesimulia habari kutoka kwa Mattayo na kina paulo 😀
[emoji116][emoji116]
TATIZO LAKO HUJUI TOFAUTI KALI YA ALLAH na allah! SINA HATA SABABU YA KUMUAMINI allah na mtume wake HATA MOJA[emoji46][emoji56] HAKUNA ALICHO SAHAU ALLAH HADI AMTUME muhammad mtoto wa Abd'Allah NA MAFUNDISHO DHAIFU [emoji12]

Aya ya Almaaida uloileta, inazungumzia wasomi, ila wewe sio msomi sasa unaanzaje kujifananisha na watu waliotajwa kwenye aya? wasomi wanatambua kuwa Uislam ndio dini sahihi na ukiristo haupo sahih, hao ndio wasomi wenu.

MTU AKITAMBUA USAHIHI WA UISILAMU BADO ATAJIITA MKRISTO??? HUYO ATAKUWA MUISILAMU [emoji106] AYA INASEMA WALE WASEMAO SISI NI WAKRISTO[emoji123][emoji106] ANZIA HAPO KUJIULIZA, JEE HAO WASEMAO SISI NI WAKRISTO WAPO? JEE WANAAMINI KITABU GANI? JUMBA LAO LA IBADA LINAITWAJE? KWA NINI allah ANAWATAMBUA KWAMBA HAO NI WACHA MUNGU NA WASOMI? JEE WAISILAMU HAKUWAONA?? KWA NINI ASEME WAFUASI WAKE WOOTE WATAINGIA MOTONI??

Kuhusu Kengele kanisani inasema Wajinga njooni, kwanza Alhamdulillah, umekiri kuwa wewe na wenzako mnaokwenda kanisani ni Wajinga, na kila J2 mnakwenda kwa sababu ni wajinga. Nafikiri unaisikia Adhana yetu, inatwita tuende tukamuabudu alieumba Mbingu na ardhi.

mgen mi nkijadiliana na wewe huwa napenda kitu kimoja mbacho mara zote kinajirudi, unajicontradict na unakiri kuwa umepotea 😀 ila umebakia ubishi tu.

Mjinga wewe jana ulienda kanisan? 😀

Kuhusu kengele umesha elewa ilaha ulipo ona uko uchi ukajistiri kwa kuchuchumaa[emoji44][emoji23][emoji23] Mimi nilikuwa mjinga sawa?! Baada ya kuitikia wito wa wajinga mje KANISANI Nikaitikia nikaenda KANISANI nikawa msomi na MCHA MUNGU! allah mungu wako anajua [emoji23] wewe ambaye umekataa mwito kwa kuogopa kula nyama ya nguruwe hadi Leo umebakia na ujinga wako unagonga kichwa ardhi [emoji44][emoji12]
 
Hili la yesu kuitwa Mungu(john 1:1)...tuache mambo ya dini kwanza anaejua kiswahili naomba ufafanuzi kidogo jamani...Ni kweli ila kiswahili chake kinanichanganya!
Hapo Mwanzo kulikuwako na NENO Naye NENO alikuweko kwa MUNGU Naye NENO NI MUNGU[emoji106] sasa soma aya ya 14 ili umkute YESU [emoji117] Naye NENO Alifanyika Mwili Akakaa kwetu...wapi HUJA elewa?
 
narudia tena kanisani nukuu ni biblia takatifu , kama umeshindwa kunukuu kutoka biblia basi huna ushaidi wowote wa huo umri, na usiweke ivyo ili tukubali alicho fanya mudi na nimekuwekea adhabu ya ki biblia alitakiwa afungwe jiwe kuba shingoni na kutoswa kwenye kilindi cha bahari

Kwani hicho ulicholeta kimetoka ndani ya Quran, usijaribu kupindsha mada

Hiyo Biblia yako ni ya kanisa lipi? Kwa hivyo wewe hukubaliani na Kanisa lako kumwomba Maria
 
unazunguka sana maana matendo ya mudi ata ww yanakukera , sasa si uweke maelezo ww mm nimeweka mpaka nukuu yake ww unashindwa nn kutoa maelezo, usione aibu mpinge mudi kwa matendo yake
Mara ya kwanza nimekuuliza swali baada ya kuleta hadithi ukaandika (kwa Mujibu wa akaunti fulani) nilipokuuliza, ukauchuna kimya. Sasa ivi nakuuliza maana ya Hadithi unaepuka kujibu swali.

Lengo la kukuuliza hilo swali, ni kutaka kujua unafaham nini suala la hadithi? Lakini na hili pia unagopa kulijibu masikini.

Naomba unijibu hayo maswali mawili ili tuende vizuri. Nsije nkawa nakwambia kitu afu kumbe huna ukijuacho ata kidogo nikuanzishe A E I O U.

Ikiwa hujayajibu maswali mawili hayo nliokuuliza (Akaunti ya fulani) na (maana ya hadithi), basi ntakuwa sina shaka kuwa kumbe huna ukijuache na kwamba umelishwa upupu kanisani mpaka una quote vitu unavoshindwa kuvitolea ufafanuzi.
 
Kuhusu kengele umesha elewa ilaha ulipo ona uko uchi ukajistiri kwa kuchuchumaa[emoji44][emoji23][emoji23] Mimi nilikuwa mjinga sawa?! Baada ya kuitikia wito wa wajinga mje KANISANI Nikaitikia nikaenda KANISANI nikawa msomi na MCHA MUNGU! allah mungu wako anajua [emoji23] wewe ambaye umekataa mwito kwa kuogopa kula nyama ya nguruwe hadi Leo umebakia na ujinga wako unagonga kichwa ardhi [emoji44][emoji12]
Waislam tunaadhini na adhana yetu ni wito wa kwenda kufanya ibada.

Ila nyie wenzetu kwa kauli yako mwenyewe mnapigiwa kengele na mlivowajinga mnakwenda, kwa sababu ni wajinga. kila j2 unakwenda kanisani kwa sababu kanisa limeshindwa kukutoa ujinga, badala yake linakujaza ujinga. na kwa vile wewe ni mjinga, ndio maana unakwenda tena 😀 😀 😀
 
Kwani hicho ulicholeta kimetoka ndani ya Quran, usijaribu kupindsha mada

Hiyo Biblia yako ni ya kanisa lipi? Kwa hivyo wewe hukubaliani na Kanisa lako kumwomba Maria
Namshangaa sana jamaa, yeye akiletewa source nje ya bibilia analia lia, ila yeye anatumia source nje ya Quran, halafu ubaya wenyewe hio source anayotumia hajui utaratibu wake 😀

Ukiwa mkiristo ujinga ndo rafiki yako dah!!
 
Waislam tunaadhini na adhana yetu ni wito wa kwenda kufanya ibada.

Ila nyie wenzetu kwa kauli yako mwenyewe mnapigiwa kengele na mlivowajinga mnakwenda, kwa sababu ni wajinga. kila j2 unakwenda kanisani kwa sababu kanisa limeshindwa kukutoa ujinga, badala yake linakujaza ujinga. na kwa vile wewe ni mjinga, ndio maana unakwenda tena 😀 😀 😀
Kwa hiyo hata mungu wako aliye sema Mimi MSOMI na wewe Hujui KUSOMA na raqaa yako NI uongo na uzushi NI muongo?[emoji44]
IMG_20190714_084655_341.jpeg
IMG_20190715_153553_105.jpeg
IMG_20190706_205749_949.jpeg
 
Waislam tunaadhini na adhana yetu ni wito wa kwenda kufanya ibada.

Ila nyie wenzetu kwa kauli yako mwenyewe mnapigiwa kengele na mlivowajinga mnakwenda, kwa sababu ni wajinga. kila j2 unakwenda kanisani kwa sababu kanisa limeshindwa kukutoa ujinga, badala yake linakujaza ujinga. na kwa vile wewe ni mjinga, ndio maana unakwenda tena 😀 😀 😀
sikujua una akili ndogo kihivyo hadi mfano mdogo huutambui! labda nikupe mfano mwepesi [emoji117] NJOO ule pilau ni MWITO [emoji106]UKIITIKIA MWITO UTAKULA KIPUNGA NA KURUDI UMESHIBA [emoji123][emoji106] UKIKAIDI UTAKULA JEURI YAKO NA NJAA ITAKUUA [emoji44][emoji12]
 
Wapi hapo kasema kama wewe msomi na mimi si msomi? 😀 😀 😀 Ingekuwa msomi usingepigiwa kengele. Kwa maneno yako mwenyewe wewe ni Mjinga 😀 😀 😀
Umevaa miwani ya mbao utaonaje?[emoji12]
 
Kwa akili za viroba umepatia [emoji46] yaani hata Utendaji wa MWENYEZI MUNGU Hujui sababu ya kupofushwa na kuabudu mzimu [emoji12]

Wewe si unajua utendaji wa Mungu? Kuchezea kisago au vipi?
 
Back
Top Bottom