Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Unaongea kinyume chake, nimekuwa mimi ndio narukia kila tawi unalochupia, ila niomeona mjadala unakosa nidhamu, sasa ivi nitashikilia tawi hadi ulikamata ndio niende tawi jengine.

Sasa ili kuweka nidham hii, nakuuliza swali na wewe ujibu halafu na wewe utauliza.

Naanza na hili (moja moja mpaka tutafika) Onesha wapi kwenye aya ulizoleta quran imeruhusu Zinaa au kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile.
Zinaa ilipo ruhusiwa hapa [emoji116]
Ndogo imeruhusiwa hapa [emoji116]halafu USEME hujibuuu [emoji44][emoji23][emoji23][emoji12]
IMG_20190711_205018_760.jpeg
IMG_20190712_103817_198.jpeg
 
Zinaa ilipo ruhusiwa hapa [emoji116]
Ndogo imeruhusiwa hapa [emoji116]halafu USEME hujibuuu [emoji44][emoji23][emoji23][emoji12]View attachment 1151790View attachment 1151791
Aya imeruhusu wale ambao ni halali yako, ambao ni wake zetu na wale ambae tunawamiliki kwa mikono yetu ya kulia.

Zinaa ni kuingiliana na mwanamke ambae sio halali yako. Sio ngumu kutofautisha baina ya halali na aliekuwa si halali.

Mbona Bibilia hili limezungumzia? unataka kunambia ulikua hujui uwepo wa hii aya;

Numbers 31:18
18- Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.

Aya ya mwisho uloleta surat Baqara, unaweza kuonesha zinaa iko wapi? maana aya inasema tuwaendee wake zetu. Wewe mkeo una zini nae?
 
Unaona wa kumuabudu kama mungu ni huyu Biblia inayotuambia ni mtoto wa haramu ambaye alikamatwa kule kwenye vichaka vya bustani ya Gesthemane akiwa na kijana aliyekuwa na chupi begani baadaye akaitupa na kukimbia uchi wa nyama
Acha stori ambazo hazina reference yoyote katiba Biblia takatifu,
Kwa mujibu wa islamu kuna quran na hadith, nakuleta hadith ya mudi apa

Sunan An-Nasa'i 3411-Imesimuliwa kutoka kwa Anas, kwamba Mtume wa Allah alikuwa na mtumwa wa kike ambaye alifanya nae ngono mpaka akafumaniwa na aisha mke wake
 
Naomba mfano mmoja Wa mtume Wa kiislam au mwananzuoni au swahaba au mke wq Mtume aliyetumia ubin Wa mama

Umetumia akili nyingi kwenye thread yako so kujibiwa kunaitaji utulivu mkubwa sana laa sivyo mtu ataleta vituko humu mana naanza kuona wanaokurupuka ngoja nisome comment zao kama ntaona atakae sema chenye akili
 
Acha stori ambazo hazina reference yoyote katiba Biblia takatifu,
Kwa mujibu wa islamu kuna quran na hadith, nakuleta hadith ya mudi apa

Sunan An-Nasa'i 3411-Imesimuliwa kutoka kwa Anas, kwamba Mtume wa Allah alikuwa na mtumwa wa kike ambaye alifanya nae ngono mpaka akafumaniwa na aisha mke wake
Mbona wewe huleti reference kutoka kwenye Quran.

Halafu wacha kufupisha hadithi na kuipotoa, mshazoea kwenye bibilia sasa mnafanya kwenye vitabu visvyowahusu;

It was narrated from Anas, that the Messenger of Allah had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:

"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse.

Naomba unijibu, ile hadithi uloleta mwanzo ni kwa mujibu wa akaunti fulani, akaunti ipi niijue namie...
 
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.

Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?

Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?

UPDATES
Tumegundua Yesu hakuwa na Baba Binadamu. Tumegundua Yesu hakuanzia Tumboni mwa Mariam ila alipitia Tumboni mwa Mariam. Waislam wako sahihi Kumuita Issa Bin Mariam ila watakuwa sahihi saizi wakimuita Mwana Wa Mungu ambaye ni Mungu.
Kutokuwa na Baba
Haiwi halali kwake Issa kuwa Mwana wa Mungu
Kwani hata Adam,hana Baba wala Mama
Je!atafaa kuitwa Mungu?!

Je!huoni uwezo wa Mungu wa kweli,katika kuumba kwake
alimuumba Adam,bila ya Baba wala Mama
akamuumba Issa,bila ya Baba
akaumba tunavyovijua na tusivyovijua,vikiwa na wazazi au pasi na wazazi

Hakika uwezo wake ni wa kutukuzwa kuliko....

Chief Mitale

Kuna baadhi ya wakati,kaa chini na utengeneze swali,na usifanye haraka

Kisha nakupa nasaha
Usijaribu kumpunguzia Mungu wa kweli uwezo wake

na wala usimpe Issa(Yesu)sifa isiyo yake
Yeye ni Mwanaadam kama sisi,Bali Mungu amemchagua kwa kumpa Utume,kama alivyowachagua waliokuwa kabla yake,
Hakuna la ziada
 
AHAHAHAHAH!!!! Imekuuma baada ya kukupa taarifa kuwa ushoga na ukiristo ni dam dam.... Lete aya ya Quran ambayo imehalalisha ushoga na ukishindwa, basi wewe ndio shoga. Lete suna ambayo inahalalisha kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile, na ukishindwa basi utakuwa umeingiliwa wewe kinyume na maumbile.

Hakuna sheria za kiislam kwaio sisi sio wapumbavu kukaa na kuwahukumu kwa sheria za kiislam.

Sheria zetu tunatekeleza pale anapochaguliwa Khalifa halali wa dola na kusimamisha Quran na Sunna.

Ujinga wako kuamini kuwa Saudi Arabi inaongozwa kwa sheria za kiislam ndio maana ya mimi kukuona wewe ni mchache wa elimu. Haya mambo ukitaka kuyajadili uwe na Elimu nayo sio unakuja na maneno ya maskani.

Israel taifa la mabwana zenu limehalalisha Ushoga, Europe nao wamehalalisha mashoga, watu maarufu wote wamehalalisha ushioga na wao ni mashoga waliojiweka wazi hadharani na wanaingia kanisani na mapapa wanawajua, hata mapadre wenu pia mashoga na wanajuana na kutoana marinda.

Ukiristo na Ushoga huwezi kutenganisha
Musnad Ahmad 16245- [Mua'wiya alisema]: Nilimwona nabii mohamad akiwa anamnyonya ulimi au midomo ya Al-Hassan mwana wa Ali, ili sala za Allah ziwe juu yake. Kwa maana hakuna ulimi au midomo ambayo nabii aliyonyonya atasumbuliwa (kwa moto wa kuzimu).
je hii hadith ni kweli au si kweli , tafadhali jibu lako liwe kweli au si kweli
 
Anakujibu mkiristo mwenzako;

Capture.JPG

Kuna na aya unasema pia imehalalisha, nasubiri na hio ndio niendelee na wewe
 
Kutokuwa na Baba
Haiwi halali kwake Issa kuwa Mwana wa Mungu
Kwani hata Adam,hana Baba wala Mama
Je!atafaa kuitwa Mungu?!

Je!huoni uwezo wa Mungu wa kweli,katika kuumba kwake
alimuumba Adam,bila ya Baba wala Mama
akamuumba Issa,bila ya Baba
akaumba tunavyovijua na tusivyovijua,vikiwa na wazazi au pasi na wazazi

Hakika uwezo wake ni wa kutukuzwa kuliko....

Chief Mitale

Kuna baadhi ya wakati,kaa chini na utengeneze swali,na usifanye haraka

Kisha nakupa nasaha
Usijaribu kumpunguzia Mungu wa kweli uwezo wake

na wala usimpe Issa(Yesu)sifa isiyo yake
Yeye ni Mwanaadam kama sisi,Bali Mungu amemchagua kwa kumpa Utume,kama alivyowachagua waliokuwa kabla yake,
Hakuna la ziada
Quraan haimjui yesu yenyewe ina issa wa mariam
 
AHAHAHAHAH!!!! Imekuuma baada ya kukupa taarifa kuwa ushoga na ukiristo ni dam dam.... Lete aya ya Quran ambayo imehalalisha ushoga na ukishindwa, basi wewe ndio shoga. Lete suna ambayo inahalalisha kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile, na ukishindwa basi utakuwa umeingiliwa wewe kinyume na maumbile.

Hakuna sheria za kiislam kwaio sisi sio wapumbavu kukaa na kuwahukumu kwa sheria za kiislam.

Sheria zetu tunatekeleza pale anapochaguliwa Khalifa halali wa dola na kusimamisha Quran na Sunna.

Ujinga wako kuamini kuwa Saudi Arabi inaongozwa kwa sheria za kiislam ndio maana ya mimi kukuona wewe ni mchache wa elimu. Haya mambo ukitaka kuyajadili uwe na Elimu nayo sio unakuja na maneno ya maskani.

Israel taifa la mabwana zenu limehalalisha Ushoga, Europe nao wamehalalisha mashoga, watu maarufu wote wamehalalisha ushioga na wao ni mashoga waliojiweka wazi hadharani na wanaingia kanisani na mapapa wanawajua, hata mapadre wenu pia mashoga na wanajuana na kutoana marinda.

Ukiristo na Ushoga huwezi kutenganisha
Embu elezea na apa kwa nn mudi alivaa nguo za kike
Wakati wake wa Muhammad waliuliza kwa nini alikuwa akitoa fursa maalum kwa Aisha, alithibitisha matendo yake kwa kusema kwamba alipokea mafunuo wakati akivaa mavazi ya Aisha!
 
Niletee jibu la swali nililokuuliza ndio tuendelee.

Akaunti fulani ni akaunti ipi hio?
 
Back
Top Bottom