Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Hizo uloleta ni aya kwenye Quran?
Hongera kwa kupinga hadith ,najua imekuuma alicho Fanya mudi Kwa binti ambaye bado alikuwa anacheza na kwenye bembea na midoli, nitakupeleka mpaka utaipinga na Qur'an mda si mrefu
 
Mimi sijapinga hadithi wala hakijaniuma. Kwa sababu ni very simple, zama izo suala ilo lilikuwa la kawaida, hata Maria alimzaa yesu akiwa na miaka 13 kwa mujibu wa kanisa na aliolewa na joseph mwenye miaka 90., ila kwa vile wewe ni mchache wa elimu na ukiwa bado mchanga ndio unanshangaza. Unakataa church findings, mimi nimefurahi kuona kuwa huliamini kanisa. ni hatua ya mwanzo. Kidogo kidogo tu utatambua kuwa kikao cha Nicea kilikuwa ni kwa ajili ya uchakachuaji na kwamba mnayoyasoma kwenye bibilia ni uzushi mkubwa.

Ivi kwa ufinyu wako wa elimu unafikiri utaweza kunifikisha wapi? masuali unayoulizwa unayakimbia 😀
Capture.JPG

Kikao cha kufuta story ya Sodoma na Gomora lini mkuu? Maana saivi Ushoga na usagaji unakubalika na kupigiwa debe sana
 
Qaraa kwa kukosa tbs ni sababu hata shetani anazo aya zake mle [emoji44][emoji23][emoji23] Mimi sifunguagi link ndio sababu nikakuuliza jee hapa anaoga mkojo wa ngamia au anafanyaje??[emoji44] MUNGU hadi Mkuu [emoji12] kama kafa tuonyeshe kaburi lake! Si nimesha kwamba sisi WAKRISTO TUMEHIFADHI INJILI KIFUANI! Sasa wewe AMBAYE mpaka usome vipande vya karatasi ndipo ujue zinaa DHAMBI ujue DHAMIRA NJEMA ALIYOKUUMBIA MWENYEZI MUNGU NDANI YAKO IMEJIFIA [emoji12] kama DHAMIRA yako iko HAI usingeamini suratul muuminun 1-5 inayo ruhusu zina NI KAULI ya MWENYEZI MUNGU!

Dhamira kweli mnayo na ndiyo mkawapa u Takatifu mashoga na kuwaomba hiyo si dhamira ndogo ni Kubwa khassaaa

👍👍👍👏👏
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122]
[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mimi sijapinga hadithi wala hakijaniuma. Kwa sababu ni very simple, zama izo suala ilo lilikuwa la kawaida, hata Maria alimzaa yesu akiwa na miaka 13 kwa mujibu wa kanisa na aliolewa na joseph mwenye miaka 90., ila kwa vile wewe ni mchache wa elimu na ukiwa bado mchanga ndio unanshangaza. Unakataa church findings, mimi nimefurahi kuona kuwa huliamini kanisa. ni hatua ya mwanzo. Kidogo kidogo tu utatambua kuwa kikao cha Nicea kilikuwa ni kwa ajili ya uchakachuaji na kwamba mnayoyasoma kwenye bibilia ni uzushi mkubwa.

Ivi kwa ufinyu wako wa elimu unafikiri utaweza kunifikisha wapi? masuali unayoulizwa unayakimbia 😀View attachment 1151226

Kikao cha kufuta story ya Sodoma na Gomora lini mkuu? Maana saivi Ushoga na usagaji unakubalika na kupigiwa debe sana

Huku kwetu Uswazi unaitwa mchezo wa kislamu [emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungeanza kukaa kimya wewe kwa sababu hujaleta reference kutoka kwenye Quran.

Nikikuuliza nini maan ya hadithi utaweza kujibu?

Halafu ngoja nkutoe ujinga kidogo maana umekutawala soma hapa chini....View attachment 1151108

Halafu rudi tena kausome ukiristo ndio utajua reference zilizopo ambazo mapapa wenu wanaokupotosheni wanatumia.

Narudia tena, ukishindwa kuleta reference ya umri alokuwa nao Aisha kutoka katika Quran, ficha ujinga wako 🙂
Tupe Maana ya hadith mkulu [emoji23][emoji23]
 
- Nasubir aya ambayo imesema mtume kashusha kitabu- umeshindwa kuileta (kwa sababu wewe ni Muongo)

- Quran haina haja ya TBS, kwa sababu ni maneno ya alieumba mbingu na ardhi, bibilia yenye maneno ya wazinifu, wauwaji na mashetani ndio inahitaji TBS, na ushahidi upo siku kwenye kikao cha Nicea, walikutana mambulula na kuamua kuchagua kipi kiwekwe kwenye bibilia na kipi kisiwekwe kwenye bibilia.

- Kwa mujibu wa ukiristo unasema Yesu kafa siku tatu - ila kama unabisha nakubaliana na wewe kwa sababu uislam unasema Issa hakusulubiwa msalabani.

- Hakuna aliehifadhi Injili wala bibilia kifuani katika wakiristo, wala haihifadhiki kifuani kwa sababu mara kikao chengine kinawekwa na kuamua kubadilisha tafsiri ama kumsinignizia jambo mtume wa mungu. Bibilia ipo kwenye vipande vya karatasi nayo sasa sielewi umehifadhi vipi Inji kifuani ikiwa hujaisoma kwenye karatasi 😀

- Onyesha wapi sura Muumin imeruhusu Zinaa. Ukishindwa ficha ujinga wengine wasijue 🙂

[emoji116][emoji116]
KWA HIYO MUNGU WAKO ALIYE KUAGIZA UAMINI KITABU KILICHO KUWEPO KABLA YAKE, NA USIPO KIAMINI UMEPOTELEA MBALI KAKUINGIZA CHAKA??[emoji23][emoji23][emoji106]

- Quran haina haja ya TBS, kwa sababu ni maneno ya alieumba mbingu na ardhi, bibilia yenye maneno ya wazinifu, wauwaji na mashetani ndio inahitaji TBS, na ushahidi upo siku kwenye kikao cha Nicea, walikutana mambulula na kuamua kuchagua kipi kiwekwe kwenye bibilia na kipi kisiwekwe kwenye bibilia.

[emoji116][emoji116]
UTAJUAJE HAYA NI MANENO YA MWENYEZI MUNGU BILA KUWA NA TBS! NILIKWISHA KUJIBU ILA UNATAKA KUMDHALILISHA mungu WAKO KWAMBA HANA VIWANGO NA NDIO SABABU HATA SHETANI KAINGIZA MANENO YAKE KWENYE FURQAN[emoji44][emoji23][emoji23] HUJUI SHETANI HUJA KAMA MALAKA WA NURU?[emoji12][emoji116]

- Kwa mujibu wa ukiristo unasema Yesu kafa siku tatu - ila kama unabisha nakubaliana na wewe kwa sababu uislam unasema Issa hakusulubiwa msalabani.

[emoji116][emoji116]
LUGHA IMANI YA WAKRISTO HUIFAHAMU KWAKO NI USIKU WA GIZA [emoji44][emoji12] YESU NI MUNGU KAMILI NA BINADAMU KAMILI [emoji123][emoji106] HIVYO WEWE UNAMJADILI YESU AKIWA KTK HALI YAKE YA UBINADAMU KAMILI!

- Hakuna aliehifadhi Injili wala bibilia kifuani katika wakiristo, wala haihifadhiki kifuani kwa sababu mara kikao chengine kinawekwa na kuamua kubadilisha tafsiri ama kumsinignizia jambo mtume wa mungu. Bibilia ipo kwenye vipande vya karatasi nayo sasa sielewi umehifadhi vipi Inji kifuani ikiwa hujaisoma kwenye karatasi 😀

UNAELEWA MAANA YA DHAMIRA NJEMA ALIO TUUMBIA MWENYEZI MUNGU NDANI YETU? SISI WAKRISTO CHOCHOTE KILICHO ANDIKWA NA YEYOTE HATA AWE MALAIKA KINYUME NA AMRI.10 ZA MWENYEZI NI BATILI [emoji106]

- Onyesha wapi sura Muumin imeruhusu Zinaa. Ukishindwa ficha ujinga wengine wasijue 🙂

Ni hapa [emoji116]mungu wako Karuhusu zina [emoji44] au nikufundishe?
IMG_20190711_205018_760.jpeg
IMG_20190704_142628_646.jpeg
IMG_20190709_134043_766.jpeg
IMG_20190711_210130_966.jpeg
IMG_20190711_210209_843.jpeg
 
Unachanganya Mchele, mihogo viazi, ndizi , maharage katika jitihada zako za kukimbia maswali.

Hivi hizo Aya za Qur'an zimesema watu wazini?
Na zimeshuka wakati gani?
Usijaribu kupotosha watu kafiri wewe shirikina

In islam if a master has sex with his slave, then when the slave girl is pregnant, she and her child is automatically freed after the masters death. But that’s not the only way a slave can get freedom, infact if a slave request his/her freedom, she or he can get it!

Noble Verse 24:33 "Let those who find not the wherewithal for marriage keep themselves chaste, until God gives them means out of His grace. And if any of your slaves ask for a deed in writing (to enable them to earn their freedom for a certain sum), give them such a deed if ye know any good in them: yea, give them something yourselves out of the means which God has given to you. But force not your maids to prostitution when they desire chastity, in order that ye may make a gain in the goods of this life. But if anyone compels them, yet, after such compulsion, is God, Oft-Forgiving, Most Merciful (to them),"

As we can clearly see, Islam says that if a slave request freedom, he/she can get it, including some money, in order for the slave to get a good jump start in life.
 
Kwanza TOA hili sumari jichoni mwako kama utaliweza

Bible has NO problem what so ever with slavery:

1 Peter 2:18 "Slaves, submit yourselves to your masters with all respect, not only to those who are good and considerate, but also to those who are harsh."

Colossians 3:22 "Slaves, obey your earthly masters in everything; and do it, not only when their eye is on you and to win their favor, but with sincerity of heart and reverence for the Lord."

"All who are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect, so that God's name and our teaching may not be slandered. (From the NIV Bible, 1 Timothy 6:1)

What about the Old Testament? :

Leviticus 25:44-46 "Your male and female slaves are to come from the nations around you; from them you may buy slaves. You may also buy some of the temporary residents living among you and members of their clans born in your country, and they will become your property. You can will them to your children as inherited property and can make them slaves for life, but you must not rule over your fellow Israelites ruthlessly."

Exodus 21:7-8 "And in case a man should sell his daughter as a slave girl, she will not go out in the way that the slave men go out. If she is displeasing in the eyes of her master so that he doesn't designate her as a concubine but causes her to be redeemed, he will not be entitled to sell her to a foreign people in his treacherously dealing with her."

As we can see, the Bible has NO dispute with slavery.
 
Katika Yohana 14:28, yesu alikuwa anasema:“Mlisikia ya kwamba mimi niliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahia kwa sababu naenda kwa Baba; kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.”

Kwa kusema “Baba” ni mkuu kuliko yeye, Yesu amejitenganisha na Mungu.

Pia katika Yohana 20:17, Yesu alimwambia Mariam Magdalene awaambie wafuasi zake:

"Yesu akawaambia, Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.”
 
Kumbe Quran Ina expire date [emoji12][emoji23][emoji23]
 
Wapi imesema USILINDE TUPU YAKO KWA UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME ??[emoji12]
 
Katika Yohana 14:28, yesu alikuwa anasema:“Mlisikia ya kwamba mimi niliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahia kwa sababu naenda kwa Baba; kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.”

Kwa kusema “Baba” ni mkuu kuliko yeye, Yesu amejitenganisha na Mungu.

Pia katika Yohana 20:17, Yesu alimwambia Mariam Magdalene awaambie wafuasi zake:

"Yesu akawaambia, Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.”

KTK HALI YAKE YA UBINADAMU KAMILI YESU KUONGEA HIVYO KUNA KOSA GANI?[emoji12] rudi kwenye usilinde tupu kwa UNAO wamiliki mkono WAKO WA KUUME [emoji23][emoji23]
 
Kwanza TOA hili sumari jichoni mwako kama utaliweza

Bible has NO problem what so ever with slavery:

1 Peter 2:18 "Slaves, submit yourselves to your masters with all respect, not only to those who are good and considerate, but also to those who are harsh."

Colossians 3:22 "Slaves, obey your earthly masters in everything; and do it, not only when their eye is on you and to win their favor, but with sincerity of heart and reverence for the Lord."

"All who are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect, so that God's name and our teaching may not be slandered. (From the NIV Bible, 1 Timothy 6:1)

What about the Old Testament? :

Leviticus 25:44-46 "Your male and female slaves are to come from the nations around you; from them you may buy slaves. You may also buy some of the temporary residents living among you and members of their clans born in your country, and they will become your property. You can will them to your children as inherited property and can make them slaves for life, but you must not rule over your fellow Israelites ruthlessly."

Exodus 21:7-8 "And in case a man should sell his daughter as a slave girl, she will not go out in the way that the slave men go out. If she is displeasing in the eyes of her master so that he doesn't designate her as a concubine but causes her to be redeemed, he will not be entitled to sell her to a foreign people in his treacherously dealing with her."

As we can see, the Bible has NO dispute with slavery.
mudi
Muhammad alioa wanawake kumi na tatu, ikiwa ni pamoja na kumi na moja kwa wakati mmoja. Alilala nao kwa siku za mfululizo au (kwa mujibu wa akaunti fulani) wote katika usiku mmoja.

Alifanya mapenzi na msichana mwenye umri wa miaka 6 na alioa mke wa mtoto wake wa kufikia (baada ya kupanga talaka ya haraka). Juu ya hayo, Muhammad alikuwa na wajakazi wasichana ambao alifanya nao ngono - wakati mwingine siku ambazo waliwaangalia wanaume na baba zao walikufa mikononi mwa jeshi lake.

Je, huyu mtu ni wa kumfuata kweli , je alionesha tabia njema kwa walio mzunguka, je anawezwa kuigwa matendo yake
 
Nimekubali nini?

Kwenye Quran imetaja wapi kuwa mtume kamuoa Aisha akiwa na miaka tisa?

Kwenye zama izi za saivi, Mungu angewahukumu mashoga basi watu wangemlaani Mungu. Kwaio kama wewe unatizama kwa zama hizi, bila shaka basi leo nimethibitisha ukiristo unaruhusu ushoga ili uendane na wakati.

Umeletewa reference kutoka kwa kanisa lako lenye kuongelea umri wa mamake Mungu na baba yake wa kambo Mungu.

Unakubaliana na kitendo cha Mungu wako alieumba mbingu na ardhi kumpa mimba katoto cha miaka 13? Na je kuhusu Yussufu nae kuwa na miaka 90 kutoka na katoto cha miaka 13 unaonaje?

Nasubiri majibu; (usisahau na ushahidi ambao unathibitisha picha ulioileta ni mtu na mkewe)

Hujawahi kujibu unachoulizwa 🙂 labda this time utajibu
Qur'an isingekuwepo nafikiri hata ugaidi usingekuwepo duniani, ushoga usingekuwepo wala wachawi wasingekuwepo. Lakini kitabu kimemsilimisha hadi shetani alafu ukiamini!!! Hichi kitabu ndio maana popular sana kwa waganga wa kienyeji. Maana kinasura ya Jini na sura za ajabuajabu.
 
Mudi
Sahih al-Bukhari 5782-Mtume wa Mwenyezi Mungu akasema, "Ikiwa nzi atanguka ndani ya chombo cha yeyote kati yenu, basi muingize wote (ndani ya chombo) na kisha kumtupa [e.g. kuruka], kwa maana moja ya mabawa yake kuna ugonjwa na kwa mwingine kuna uponyaji (dawa ya kupinga) yaani matibabu ya ugonjwa huo. "
 
Mudi
Musnad Ahmad 16245- [Mua'wiya alisema]: Nilimwona nabii mohamad akiwa anamnyonya ulimi au midomo ya Al-Hassan mwana wa Ali, ili sala za Allah ziwe juu yake. Kwa maana hakuna ulimi au midomo ambayo nabii aliyonyonya atasumbuliwa (kwa moto wa kuzimu).
 
Huku kwetu Uswazi unaitwa mchezo wa kislamu [emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini unatambulika kuwa Ukiristo ndio unakubaliana nao huo mchezo 😀 😀 😀 atleast chukueni credit basi kwa mambo zenu. Mnaikana dini yenu kiujanja ujanja
 
Tupe Maana ya hadith mkulu [emoji23][emoji23]
Kumbe una quote kitu ambacho hujui maana yake? Na ndio maana imekuwa rahisi kwako kuamini Mungu wako kakuleteeni mitume wazinifu na walevi 😀 😀 😀 Poleni
 
Back
Top Bottom