Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
kwa taarifa yako JINI aliishi kabla ya mifupa ya hao wanyama alikuwa anakula nini?
Nataka uthibitishe kabla ya wanyama kuwepo majini yalikuwepo , Yani ueleze Allah alivyodai aliumba dunia na kila kilichomo , uthibitishe majini yalikuwepo kabla
 
Isa alipewa kitabu kabisa, sio hizi porojo za wakina Mathayo, luka na Yohana
Ndio maana tunakwambia usiweke imani yako kwenye imani ya wakristo
Isa mnaamini nyie waislamu alipewa kitabu kabisa na hatuwakatazi kuamini mnachoamini, ila issue inakuja uthibitisho wa kitabu kilikuwepo ndo hakuna

Yesu hakupewa kitabu chochote hiyo ni imani yetu , tunaamini Yesu alihubiri habari njema na watu wakanukuu alichokuwa anahubiri na kukiweka kwenye maandiko , mpaka yesu anaondoka hakuna kitabu aliacha
 
Nenda kasome uyahudi kwanza namna wanavyo tafsiri mambo yao huyu Yesu wenu ni fake kabisaaa kwa mujibu wa tafsiri zao
Isa ni original ? maana mnadai alikuwepo Israel, Je waisrael wao wanasema Isa ni original au ni Fake ?

Tunapomuongelea Yesu kuna historia ambayo ipo na maeneo yapo israel ukienda unayakuta , issue ya kumuamini ni tofauti na issue ya Yesu kuwepo
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
mkuu ni Yesu yupi alizaliwa kwenye hori la ng'ombe
lete andiko-reference
 
Isa ni original ? maana mnadai alikuwepo Israel, Je waisrael wao wanasema Isa ni original au ni Fake ?

Tunapomuongelea Yesu kuna historia ambayo ipo na maeneo yapo israel ukienda unayakuta , issue ya kumuamini ni tofauti na issue ya Yesu kuwepo
Mambo ya kupeana vitabu yako Uislamuni tuu.Hivi Mussa alipewa kitabu gani?
 
Waislam ndio wanaamini kupewa vitabu, alafu wanalazimisha na wakristo waamini mambo ya kupewa vitabu mara kitabu kimeshuka
Hili ni tatizo lenu wengi sana, hamuijui hata hiyo dini yenu halafu manataka kubishana na waislamu wanaoijua vema dini yao.

Torati ni nini, Zaburi ni nini, na Injili ni nini? kama ni vitabu vimeandikwa na nani? na je vilikuwa katika huu mfumo wa vitabu tulivyonavyo sasa au viliandikwaje na kwenye nini?

Yesu aliijua torati hakuijua? na je alifundishwa na nani? tutajie mwalimu wake!
 
Mambo ya kushuka vitabu ni Imani yenu waislamu, na mnaamini kuna kitabu mama kwa allah
 
hakuna mtu wa kumuua Jibril hata angekuja na umbo la Paka,
Kumbuka Jibril kwa hadhi yupo chini ya binadamu, akikutana na binadamu anamsujudia kwanza
Koran 7:11 Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam.
 
Mohamed alisoma injili feki za Yuda, Thomas nk, kule kuna story mpaka. Ndio hizo anazitumia.
 
Mambo ya kushuka vitabu ni Imani yenu waislamu, na mnaamini kuna kitabu mama kwa allah
Hayo niliyokuuliza hujayaona au unaogopa kuyajibu?

Torati ni nini, Zaburi ni nini, na Injili ni nini? kama ni vitabu vimeandikwa na nani? na je vilikuwa katika huu mfumo wa vitabu tulivyonavyo sasa au viliandikwaje na kwenye nini?

Yesu aliijua torati hakuijua? na je alifundishwa na nani? tutajie mwalimu wake!
 
Hayo niliyokuuliza hujayaona au unaogopa kuyajibu?
Waislamu mnaamini Allah anakitabu apo ndipo jibril anaenda kuchukua verse na kuzipeleka kwa mtume

Koran Sahih Intl 43:4 And indeed it is, in the Mother of the Book with Us, exalted and full of wisdom.
 
Waislamu mnaamini Allah anakitabu apo ndipo jibril anaenda kuchukua verse na kuzipeleka kwa mtume

Koran Sahih Intl 43:4 And indeed it is, in the Mother of the Book with Us, exalted and full of wisdom.
Ah kumbe upo katika kubishana zaidi!
 
Nabii wa Allah ni Muhamadi peke yake.
Ndio maana kwenye Shahada Waislamu wanaimba.

Hakuna Mungu ila Allah
na Mtume wake ni Muhammadi.

Manabii wengine wote ni Feki.
Huyo Isa ndio Feki kabisa.

Isa raia wa Madina.
 
Back
Top Bottom