Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Maswali bado hujajibu

Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
Hakuna anae jua ukristo ulianza lini? ila watu walianza kuitwa wakristo Antiokia , wakati huo hakuna mashahidi wa Yehova, wala hakuna wakatoliki, wala hakuna wasabato wala hakuna walokole , swali jingine?
 
Hakuna vitabu vyovyote vya manabii wengine kabla ya Yesu kwenye umma wa mohamad hizo ni simulizi tu ambazo zimechezewa , havina kazi na havipo kwasasa
Ndo mnafundishwa hivyo madrasa?Vitabu ambavyo havijachezewa ndo tunavitaka tuhakiki hoja yako
 
Masimulizi ya wakina Mathayo wewe unaita Injili ya Yesu ahahahha, kutokuwa na injili haina maana tuamini kila ujinga wa watu
Wewe tungekuamini kama ungetuonesha injili vinginevyo huna ushahidi na unapiga porojo tuu.Nikisema Enzi za Muhammad zimeisha na kuna enzi za Zumaridi naamini utanishangaa sana.Ila kiukweli Muhammad haqualify kwenye unabii kama waliotangulia kwa namna anavyodeliver message pamoja na genealogy yake
 
Hakuna injili ya Yesu ni masimulizi ya wakina Mathayo, luka, Yohana , Marko hakuna jipya pale ni upotevu na uongo mtupu
Wewe huyamini maneno ya akina Mathayo na Yohana, Wanafunzi wa Yesu Waisraeli, anazaliwa wanamwona, na waliomsikia akihubiri injiri na kuiandika kwa kumnukuu Yesu Mwenyewe.

Unakuja kuyasikiliza na kuyaamini maneno yaliyosimuliwa na Ng'ombe jike (Baqarah), Wanyama, (Annam), Nyuki, (Nahl) Mapango, (Kahf) Vichuguu, (Tul, visivyo hata na uhai wa kuongea)
Majini (Sura ya Majini) Nk.
Na unajiita mwelewa.
Utaendelea kulisujudia Jiwe Jeusi la Maka na kuongeza ukubwa wa makovu kwenye paji lako na uso hadi Unakufa.
 
Hakuna kitabu hiko kwasasa maana muda wake umekwisha , walio paswa kukitumia sasa hawapo
Hamna watu wa kubadilishana nao maarifa humo. Achana nao hao, mana Hoja zao utasikiliza za kwako hawataki kusikiliza. Huwezi kuwa na mjadala wenye maana
 
Hamna watu wa kubadilishana nao maarifa humo. Achana nao hao, mana Hoja zao utasikiliza za kwako hawataki kusikiliza. Huwezi kuwa na mjadala wenye maana
Umekutana na mbusu jiwe mwenzako anaekiri injili ya isa imepotea , pambana nae sasa
 
Ndio hao aliosema ibn abd allah ni Wasomi na Wacha Mungu??
[emoji116][emoji116]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu , na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 
Ukristo ni upagani, hakuna zaidi.

Labda waifute biblia inayosema hivyo [emoji1484]

View attachment 2655793
Upunguze ushabiki na kijiba cha roho kwa Wakristo hadi unakuwa kafiri kwa kuibishia quran iliyobainisha?
[emoji116][emoji116]
Wakristo ni wacha Mungu na Wasomi!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu , na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.

Allah Analinda Makanisa!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
الَّذِينَ أُخْرِجُوا مِن دِيَارِهِم بِغَيْرِ حَقٍّ إِلَّا أَن يَقُولُوا رَبُّنَا اللَّهُ ۗ وَلَوْلَا دَفْعُ اللَّهِ النَّاسَ بَعْضَهُم بِبَعْضٍ لَّهُدِّمَتْ صَوَامِعُ وَبِيَعٌ وَصَلَوَاتٌ وَمَسَاجِدُ يُذْكَرُ فِيهَا اسْمُ اللَّهِ كَثِيرًا ۗ وَلَيَنصُرَنَّ اللَّهُ مَن يَنصُرُهُ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَقَوِيٌّ عَزِيزٌ

[ AL -HAJJ - 40 ]
Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.

Allah Anawatoa khofu Wakristo!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَالَّذِينَ هَادُوا وَالنَّصَارَىٰ وَالصَّابِئِينَ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَعَمِلَ صَالِحًا فَلَهُمْ أَجْرُهُمْ عِندَ رَبِّهِمْ وَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ

[ AL - BAQARA - 62 ]
Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
 
Back
Top Bottom