mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Kila Umma wamejaliwa sheria zao na kawaida yao ya Ibada! Dhahir eeh?1. Kwahiyo baba wa Imani Ibrahim nae Mungu alimuacha alipo lala na kijakazi?
2.Daudi alikuwa na changudoa lakini mpaka leo una muimba na kumsifia pamoja na ukoo wa Daudi
3. Unaona wivu Mohamad kumuonyesha upendo mjuu wake ?
4. Biblia ilipo waruhusu kunywa pombe unategemea zikafanye nini huko vichwani?
5.Unashangaa Mohamad kurogwa ambaye ni binadamu halafu Mungu wako Yesu kupigwa makofi una ona sawa, hizi si bangi hizi ahaaaaa
Hujui sasa ni Uma wa Yesu na Ameagiza!
Halafu unaongeza idadi ya waliokiuka Maagizo ya Mwenyezi Mungu
[emoji116][emoji116]
John 13:34-35
[34]Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.