Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Koran imeandikwa kistail kwa kuchukua ya biblia na kutwist ila huko kwenye kutwist kumefanya ije na maana tofauti.
Kwa mfano kama mamake Issa alitokewa msikitini ina maana ni miaka lukuki baada ya Yesu kuzaliwa. Maana uislam umeanza miaka miiingi baada ya ukristo.

Ukiangali Ibrahim utacheka... tofauti.

Deception kila kona
 
Endelea kuacha matako wazi[emoji28][emoji28]

Kila mtu anakushangaa,kwanini huelewi.

Utataka kusema adam alipoambiwa atakula kwa jasho,ilitakiwa awe anakula ugali kwa kutumia jasho kama mboga au kinywaji[emoji28][emoji28]

Stupidy.
Usichanganyikiwe hakuna uhusiano hapa lugha ni ngumu sana kwako, NYOKA kaambiwa ATAKULA VUMBI

Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:14

Najua lugha ni mateso kwako
 
Hili kichwa lako bora lingepelekwa maabara likaushwe watoto wajifunzie maabara[emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani hata Allah hajivunii msukule hopeless kama wewe.
 
Bwege ni baba yako mzazi na mama yako.

Umekomaa kutukana hoja huna.

Swala la wanyama kuishi,hakuna mnyama anayetegemea upinde kuishi wewe kenge,sasa una uhusiano gani upinde na maisha ya viumbe kabla ya ghalika[emoji38][emoji38]
Wewe kuitwa bwege umekuwa mkali mbona mimi wazazi wangu unawataja halafu kawaida tu, tuambie KABLA ya Nuhu hakukuwa na mwanga wa jua na maji? Mpaka mtuletee uwongo wenu kuwa Rainbow imeanza wakati wa Nuhu? acha kutaja wazazi wa watu pambana na mimi kilaza wewe
 
Hili kichwa lako bora lingepelekwa maabara likaushwe watoto wajifunzie maabara[emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani hata Allah hajivunii msukule hopeless kama wewe.
Nyoka gani anakula Mavumbi, unajua kukataa ukweli ni kazi sana kwa kiingereza EAT na kwa kiswahili Kula, tuambie nyoka huyu mlavumbi yuko wapi , huwezi jua labda huko kwenu nyoka hao wapo ahahahahha

Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:14
 
Wewe kuitwa bwege umekuwa mkali mbona mimi wazazi wangu unawataja halafu kawaida tu, tuambie KABLA ya Nuhu hakukuwa na mwanga wa jua na maji? Mpaka mtuletee uwongo wenu kuwa Rainbow imeanza wakati wa Nuhu? acha kutaja wazazi wa watu pambana na mimi kilaza wewe

Wazazi wako wanahusika na upumbavu wako moja kwa moja,kwanini wazini mbele yako unaona wanakuacha mwehu maisha yako yote??

Nimekwambia leta ushahidi kisayansi kulikuwa na upinde kabla ya nuhu,unataja mwanga wa jua na matone ya maji[emoji23].
 
Nyoka gani anakula Mavumbi, unajua kukataa ukweli ni kazi sana kwa kiingereza EAT na kwa kiswahili Kula, tuambie nyoka huyu mlavumbi yuko wapi , huwezi jua labda huko kwenu nyoka hao wapo ahahahahha

Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:14

Itoshe kusema upumbavu ni zawadi uliyopewa na Mungu[emoji1][emoji1].

Kaa nao mpaka aamue yeye kuuchukua.
 
Wazazi wako wanahusika na upumbavu wako moja kwa moja,kwanini wazini mbele yako unaona wanakuacha mwehu maisha yako yote??

Nimekwambia leta ushahidi kisayansi kulikuwa na upinde kabla ya nuhu,unataja mwanga wa jua na matone ya maji[emoji23].
Unataka ushahidi gani nimekwambia upinde ni matokeo ya mwanga wa jua na maji na hali ya hewa(joto, baridi, mawingu), sasa tuambie wewe hivi vilianza wakati wa Nuhu ?ahahahaha wewe jamaa ni kilaza kumbe aisseee
 
Sasa haya yanapingana vipi na andiko??
Andiko limesema upinde ni matokeo ya malaika kupaka rangi mawingu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itoshe kusema upumbavu ni zawadi uliyopewa na Mungu[emoji1][emoji1].

Kaa nao mpaka aamue yeye kuuchukua.
Kwisha habari ulikuwa hujui kuwa biblia imeandika nyoka anakula Vumbi ahahahahaha mkiletewa maelezo kwenye Quran hamtaki na mimi nataka tujadili kama ilivyo, ni Nyoka wapi biblia ilisema watakula Vumbi, wewe huwezi ifundisha biblia cha kuandika

Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:14
 
Sasa haya yanapingana vipi na andiko??
Andiko limesema upinde ni matokeo ya malaika kupaka rangi mawingu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni kichaa mkubwa kwa hiyo upinde ni malaika kupaka rangi mawingu ahahahhaha , ndio Mungu wako kakufundisha hivyo
 
Wewe ni kichaa mkubwa kwa hiyo upinde ni malaika kupaka rangi mawingu ahahahhaha , ndio Mungu wako kakufundisha hivyo

Kichaaa baba yako na mama yako.

Unasema upinde ni matokeo ya matone na mwanga wa jua,nakuuliza sasa hii inapingana vipi na andiko la kwamba upinde ulitokea baada ya ghalika??

Labda bible ingesema upinde ulitokana na malaika kutandika pazia la rangi mbinguni[emoji23][emoji23],unfortunately huo ufala wa sampuli hiyo utakutana nao ktk Quran tu.
IMG_2016.jpg
 
Kwisha habari ulikuwa hujui kuwa biblia imeandika nyoka anakula Vumbi ahahahahaha mkiletewa maelezo kwenye Quran hamtaki na mimi nataka tujadili kama ilivyo, ni Nyoka wapi biblia ilisema watakula Vumbi, wewe huwezi ifundisha biblia cha kuandika

Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:14

Naijua bible kuliko Allah anavyoijua Qurani kalio wewe[emoji28][emoji28]

Nakuelewesha hutaki umefunga ndoa ya jinsia moja na upumbavu wako,hutaki kuuachia.

Angalia uxenge aliokuwa anapewa mtu pangoni,tukiwaambia ni tapeli yule hamuelewi[emoji23][emoji23]
IMG_2015.jpg
 
Mkuu hivi vitabu Quran na Biblia hatujaandika mimi na wewe, bali tumevikuta, tusome kama kilivyo bila kuongeza neno.

Usilinganishe vitabu ,

ulicholeta umeleta kutoka biblia na kuna waandishi wengi tofauti na ndio nikakuuliza huyo aliyeandika hizo aya ni nani ??
 
Usilinganishe vitabu ,

ulicholeta umeleta kutoka biblia na kuna waandishi wengi tofauti na ndio nikakuuliza huyo aliyeandika hizo aya ni nani ??
Kwa hiyo umeelewa jibu, tatizo lako unamtaka mwandishi, 1YOHANA.
 
Mkuu hivi vitabu Quran na Biblia hatujaandika mimi na wewe, bali tumevikuta, tusome kama kilivyo bila kuongeza neno.

Wanazuoni wengi wa madhehebu na vikundi mbalimbali vya Kikristo wamethibitisha kuwa sehemu kubwa ya maandiko ya Biblia ina mashaka makubwa juu ya uhalisia wake.

Katika utangulizi wa Ngano za Mungu mwenye Mwili, Mtunzi ameandika yafuatayo:

"Katika karne yakumi na tisa, Wakristo wa Kimagharibi walifanya marekebisho makubwa mawili ili kuitikia wito wa
kupanuka kwa elimu ya wanadamu: imekubalika kuwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile na ameibuka kuwa ni miongoni mwa wanamageuzi wa mfumo wa maisha duniani;

imekubalika kuwa vitabu vya Biblia vimeandikwa na watu tofauti tofauti katika matukio tofauti tofauti na haviwezi kukubaliwa kuwa ni utunzi wa Mungu wa neno kwa neno."

Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?'

kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba".

Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya Injili. Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa.

Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu...") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.

Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia".

Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili.

Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji. Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.

Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu.

Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi. Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.

Mabadiliko ya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.

Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Aliendelea kusema zaidi: "Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora. Hata matoleo ya Agano
Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu."
 
Naijua bible kuliko Allah anavyoijua Qurani kalio wewe[emoji28][emoji28]

Nakuelewesha hutaki umefunga ndoa ya jinsia moja na upumbavu wako,hutaki kuuachia.

Angalia uxenge aliokuwa anapewa mtu pangoni,tukiwaambia ni tapeli yule hamuelewi[emoji23][emoji23]
View attachment 2642264

Hayo kwa akili yako ya govi hata nikikufahamisha ki sayansi huwezi ukaelewa

Wewe hangaika na kumjua mungu wako si huyu mnayemwabudu aliyekuwa na fudu lililozungukwa na minywele akakamatwa fudu lake likanyofolewa govi , akavishwa pampers asijinyie surualini , akatawazishwa mavi, akacheza mdako na watoto wenzake .
 
Sayansi ipi sasa hii hii anayoijua Allah[emoji23][emoji23]au nawewe unajua science kumzidi Allah??

IMG_2015.jpg
 
Sayansi ipi sasa hii hii anayoijua Allah[emoji23][emoji23]au nawewe unajua science kumzidi Allah??

View attachment 2642327

Kwanza pigana na kumjuwa Mungu wako si huyu unayemwabudu aliyelazwa chini akatolewa govi na binadamu wenzake . siye huyu anayekunya akatawazishwa akavalishwa pampers asijinyee surualini. Siye huyu mwenye ndugu , kaka , shangazi , wajomba , na marafiki wa kucheza naye mdako
 
Back
Top Bottom