Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Pipa na mfuniko!
Jesus circumsised
Yaani eti mungu anatahiriwa kifudu chake mbele za watu 😳🙄🙄🙄
Pipa na mfuniko!
Tuambie nyoka anae kula vumbi ameonekana wapi?
Bahati nzuri hata Biblia ya kiingereza imetumia neno EAT, sasa toka lini EAT ikawa kuburuzika?
View attachment 2642002
Jesus circumsised
Yaani eti mungu anatahiriwa kifudu chake mbele za watu 😳🙄🙄🙄
View attachment 2642061
Huna jipya!Jesus circumsised
Yaani eti mungu anatahiriwa kifudu chake mbele za watu 😳🙄🙄🙄
View attachment 2642061
Umelogwa sio bure!Hata mungu wako pia ??
Akili zenu ziko kwenye makalio yenu ?
Yaani Yohana 8 ;58 ni maneno kasema Nani hapo??
Akili nyengine mlizo nazo ndiyo hizi
mungu avuliwe suruwali , awe na fudu lilozungukwa na minywele,waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Awe na dada , kaka, mjomba , shangazi , babu
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]Paulo anasema Yesu Kristo ni fumbo!
Mkisoma haya, mtaweza kuufahamu ufahamu wangu katika siri ya Kristo (Waefeso 3:4).
Pamoja na hayo mkituombea sisi pia, kwamba Mungu atufungulie mlango wa kunena, tupate kunena siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake mimi nimefungwa; (Wakolosai 4:3)
Kulingana na Paulo, Yesu hakuwa mtu halisi; alikuwa dhana ya kiroho katika akili za watu:
Hoja ya Paulo ilikuwa na matokeo makubwa mawili.
Haikusababisha tu mabadiliko zaidi kufanywa kwa yale ambayo Yesu alikuwa amefundisha, lakini pia ilitayarisha njia ya kubadilisha kabisa mawazo ya watu kuhusu Yesu alikuwa nani.
Alikuwa akibadilishwa kutoka kuwa mtu hadi dhana katika akili za watu.
Paulo hakujali kuhusu Yesu wa kihistoria, ambaye hajawahi kukutana naye.
Alimgeuza Yesu kuwa ‘mungu-mtu’.
Kusita kwake kusema mengi sana juu ya Yesu yule mtu, katika barua zake, hakunukuu hata kidogo usemi wowote wa Yesu, katika utume wake kwa Mataifa.
Yesu, kulingana na mwili ambao ni Yesu wa kihistoria, hakutimiza kusudi lake
Pauline Christology ina uhusiano mdogo tu na Yesu halisi wa kihistoria.
Kwa hivyo, imani katika Kristo kama inavyoshikiliwa na mahubiri ya zamani yaliyoongozwa na Paulo ilikuwa kitu kipya kwa kulinganisha na mahubiri ya Yesu, ilikuwa ni aina mpya ya mungu-mtu wa Dini ya Kipagani.
Umelogwa sio bure!View attachment 2642083
Kula chuma ikooo.
Nimekwambia kuuma unakubali, ila linapo kuja suala la KULA MAVUMBI unajitoa akili, nimekwambia tuambie ni nyoka wa aina gani hapa duniani ANAKULA MAVUMBI?View attachment 2642073
Nimekwambia tumia komwe kufikiri sio kubebea barghashia[emoji28][emoji28]
Andiko linasema pia naye nyoka amekuwa adui,atakuuma kisigino,hiyo ilikuwa laana,kwa kutambaa na tumbo atabugia vumbi.
Kama kawaida ram ndogo ushapagawa[emoji28][emoji28]
Huku Allah akiwa anamaanisha anachomwambia Mtume wake,1000% kapuyanga[emoji23][emoji23]
Halafu nataka uniambie UPINDE (RAINBOW) kumbe Mungu wa Biblia alianza kuuweka wakati wa Nuhu, ebu tuambie hii ni sayansi ya wapi kuwa RAINBOW iliwekwa wakati wa Nuhu? Ahahahah ndio kwanza nimeanzaView attachment 2642073
Nimekwambia tumia komwe kufikiri sio kubebea barghashia[emoji28][emoji28]
Andiko linasema pia naye nyoka amekuwa adui,atakuuma kisigino,hiyo ilikuwa laana,kwa kutambaa na tumbo atabugia vumbi.
Kama kawaida ram ndogo ushapagawa[emoji28][emoji28]
Huku Allah akiwa anamaanisha anachomwambia Mtume wake,1000% kapuyanga[emoji23][emoji23]
Nimekwambia kuuma unakubali, ila linapo kuja suala la KULA MAVUMBI unajitoa akili, nimekwambia tuambie ni nyoka wa aina gani hapa duniani ANAKULA MAVUMBI?
Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;
Mwanzo 3:14
Mbona kiswahili ndio kimetumika hapo ebu acha kuzunguka
Halafu nataka uniambie UPINDE (RAINBOW) kumbe Mungu wa Biblia alianza kuuweka wakati wa Nuhu, ebu tuambie hii ni sayansi ya wapi kuwa RAINBOW iliwekwa wakati wa Nuhu? Ahahahah ndio kwanza nimeanza
Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.
Mwanzo 9:13
tunataka utuambie kabla ya Nuhu hakukuwa na sunlight na water droplet? Maana Yehova anasema ameweka upinde wake mbinguni wakati huu anaingia agano wakati wa Nuhu ahahahhaHapa tatizo liko wapi??
Science inasema upinde unasababishwa na nini??
tunataka utuambie kabla ya Nuhu hakukuwa na sunlight na water droplet? Maana Yehova anasema ameweka upinde wake mbinguni wakati huu anaingia agano wakati wa Nuhu ahahahha
Sasa miongoni mwa laaana ni kula vumbi mbona unakimbia kimbia wewe, Tuambie ni nyoka aina gani anakula vumbi Na mimi nataka kumjuaShida yako mara zote nimekuwa nakwambia ni uwezo wako mdogo wa kufikiri.
Andiko linasema wazi kwa tumbo lako utatembea,nyoka anatembelea tumbo au magome???[emoji28][emoji28]
Mavumbi utakula,nyoka anakula vumbi??[emoji23][emoji23]
Nawe binaadam anyoka atakuuma kisigino,nyoka anauma kisigino peke yake[emoji23][emoji23]
Usitumie akili za daku,hapa ni laana alikuwa anapewa kuonyeshwa ni kwa namna gani anakwenda kupitia adha mbali mbali katika maisha yake sababu tu ya kosa alilofanya.
Sasa sunlight na water droplet zilianza wakati wa Nuhu? ahahahahah ni kwambie nini usiwe mjinga RAINBOW haijaanza wakati wa Nuhu ahahahahh, umedanganywa kilaza weweWewe sasa kwa kupitia science utuambie kwamba kabla ya nuhu upinde ulikuwepo,si ni rahisi tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Ingekuwa tatizo kama bible ingesema upinde wa mvua ni ukuta ya kuzuia shetani asiende mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi bible imetwambia tukiona upinde ni ishara kwamba Mungu hata iharibu tena dunia kwa maji.
Sasa miongoni mwa laaana ni kula vumbi mbona unakimbia kimbia wewe, Tuambie ni nyoka aina gani anakula vumbi Na mimi nataka kumjua
Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi UTAKULA siku zote za maisha yako;
Mwanzo 3:14
Nakwambia lazima utuambie nyoka anae kula VUMBI
KIINGEREZA ( EAT)
View attachment 2642172
Sasa sunlight na water droplet zilianza wakati wa Nuhu? ahahahahah ni kwambie nini usiwe mjinga RAINBOW haijaanza wakati wa Nuhu ahahahahh, umedanganywa kilaza wewe
Nakuuliza kabla ya Nuhu hao wanyama waliishi vip kama hakuna mwanga wa jua Na maji? Ahahaha eti Rainbow ilianza wakati wa Nuhu kilaza wewe , Rainbow ilianza siku ambayo viumbe hao viliqnza kuishi hii dunia maana ni lazima kulikuwa Na mwanga wa jua, maji, joto, mawingu , umedanyanywa kuwa eti rainbow ni agano wakati wa Nuhu bwege weweMjinga ni wewe na kilaza ni baba yako.
Hapa mbona hujatumia akili kabisa sasa auongo uko wapi[emoji23][emoji23]upinde kutoka kwa Mungu au upinde kutoka baada ya ghalika??
Nakuuliza kabla ya Nuhu hao wanyama waliishi vip kama hakuna mwanga wa jua Na maji? Ahahaha eti Rainbow ilianza wakati wa Nuhu kilaza wewe , Rainbow ilianza siku ambayo viumbe hao viliqnza kuishi hii dunia maana ni lazima kulikuwa Na mwanga wa jua, maji, joto, mawingu , umedanyanywa kuwa eti rainbow ni agano wakati wa Nuhu bwege wewe