ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Commentary? wewe zipo kweli kichwani sisi tuna soma biblia kama ilivyo andika commentary ni mawazo yako wewe na hao wanaosema sio KAULI YA MUANDISHI, biblia inaposema NYOKA anakula vumbi wewe huwezi kutuambia tofauti na hapo, narudia tena Nyoka aina gani anakula vumbi?Biblia ina commentary zake nenda kasome
Embu tusaidie hili
Allah anaelezea radi
Koran
93;13. Na radi inamtakasa Allah kwa kumhimidi, na Malaika pia, kwa kumkhofu. Naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye.......................
Kaburi la muhammad wanasayansi wakiwa wamemzuia allah na radi zake???!!
View attachment 2643299
Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;
Mwanzo 3:14
Naona ule upuuzi wako kuwa upinde (Rainbow) ni malaika wanapaka rangi mawingu umeuacha maana ni mambo ya aibu sanaaa ahaaa