Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Jibu unaloulizwa

Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]
HUO ndio Wepesi iliufe kafiri kuliko hicho unacho post post...[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Hakuna anayehangaika,imani yako ni ya muhimu sana katika mjadala huu.

Unajua imani za baadhi ya watu zimeathiri sana uwezo wa watu kufikiri.

Anyway kama unaogopa kutaja sio mbaya,pumzika.
Jadili madhehebu kijana mbona ndio tulicho kuwa tunajadili toka mwanzo acha kuweweseka
 
Ndio nimeuliza dhehebu lako,ama imani yako au huelewi kipi ni kipi??au nimeuliza size ya kiatu unachovaa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]
HUO ndio Wepesi iliufe kafiri kuliko hicho unacho post post...[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Yaani Mungu awe shababi awe na dada ,kaka, mjomba ,shangazi ,

Jibu unaloulizwa

Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
 
Ndio nimeuliza dhehebu lako,ama imani yako au huelewi kipi ni kipi??au nimeuliza size ya kiatu unachovaa[emoji38][emoji38][emoji38]
Usikimbie mjadala hakuna alie uliza dhehebu lako hapa tunajadili misimamo ya kila dhehebu mbona umevurugwa
 
Mbona usijibu swali jepesi kabisa??alimuumba lini na wapi??
Unataka akuonyeshe wapi? Kwani alikuonyesha wapi aliumba malaika, umechanginyikiwa Yehova ndio Mungu muweza wa kila jambo sasa anashindwa kumuumba Yesu wakati ni kiumbe chake
 
Usikimbie mjadala hakuna alie uliza dhehebu lako hapa tunajadili misimamo ya kila dhehebu mbona umevurugwa

Sijavurugwa useme umechanganyikiwa mpaka huelewi jibu utakalojibu litapelekea nini.

Kuna RC,JW,wasabato nk,weww lako ni lipi kati ya haya??au haupo kati ya hayo??
 
Kwani wewe ukijadili uislamu unakuwa msuni? tulia unyooshwe kijana acha wenge, mashahidi wa Yehova wamekuvuruga sana , huu ndio ukweli Yesu anabaki kuwa mwokozi na mwana wa Mungu basi kwa mashahidi hakuna utatu maana ni UZUSHI
 
Unataka akuonyeshe wapi? Kwani alikuonyesha wapi aliumba malaika, umechanginyikiwa Yehova ndio Mungu muweza wa kila jambo sasa anashindwa kumuumba Yesu wakati ni kiumbe chake

Ndio sababu nikasema wewe kichwani umejaza maandazi.

John 8:58 alikuwa anazungumia kuwako wapi??
 
Kwani wewe ukijadili uislamu unakuwa msuni? tulia unyooshwe kijana acha wenge, mashahidi wa Yehova wamekuvuruga sana , huu ndio ukweli Yesu anabaki kuwa mwokozi na mwana wa Mungu basi kwa mashahidi hakuna utatu maana ni UZUSHI

Mashahidi wa Yehova hawawezi nivuruga maana wanaamini ninachoamini.

Wewe na ujinga wako ndio umedanda teni na mini skirt ukidhania linakupeleka kijijini kwenu kwa mtume[emoji23][emoji23].
 
Ndio sababu nikasema wewe kichwani umejaza maandazi.

John 8:58 alikuwa anazungumia kuwako wapi??
Acha bangi wakolosai imeeleza vizuri ni mtoto wa kwanza wa uumbaji acha ukichaa, au unafikiri watu hatujui maandiko , huyo kaumbwa tu , ndio maana mashahidi wa Yehova wamekataa utatu kwa akili mbovu kama zako
 
Mashahidi wa Yehova hawawezi nivuruga maana wanaamini ninachoamini.

Wewe na ujinga wako ndio umedanda teni na mini skirt ukidhania linakupeleka kijijini kwenu kwa mtume[emoji23][emoji23].
Wewe una amini kuwa utatu mtakatifu ni Uzushi?
 
Acha bangi wakolosai imeeleza vizuri ni mtoto wa kwanza wa uumbaji acha ukichaa, au unafikiri watu hatujui maandiko , huyo kaumbwa tu , ndio maana mashahidi wa Yehova wamekataa utatu kwa akili mbovu kama zako

Mtoto wa kwanza wa uumbaji.

Nadhani pia imeeleza aliumbwa kwa kutumia nini sivyo??haya elezea.

Maana adamu alifinyangwa kwa udongo kama binaadam wa kwanza wakati huo Yesu akiwapo tayar.upo??
 
BADO unaendelea kubishana na mashahidi wa Yehovah ?
13EBA17C-F4CD-4D14-AF27-6F14868CBED5.jpeg
 
Back
Top Bottom