Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kwani kuna mkristo ana ulizwa dhehebu humu ndani au unafikiri hatujui kuwa wakristo wana madhehebu zaidi ya moja?
Ni kuepuka kupotezeana muda
Ndio maana ata wewe ulidai andiko sikukuwekea maana haukitambui kitabu Cha bukhari
 
Wewe ndio huna cha kuzungumza jadili hoja wakristo kwa waislamu wote wana madhehebu, wakristo kwa waislamu kuna vitu vya imani zao lakini wengine hawa kubaliana navyo, mfano Biblia ina vitabu 73 ambayo wanatumia Waroma, lakini waprotestant wao ni vitabu 66, kuna gape la vitabu 7 hapo, tafsiri ukimwambia mprotestant habari ya Makabayo anaweza kuona unaleta vitabu vya wahindu kumbe ni biblia hiyo, wewe lete hoja utajibiwa kadri ya mtu anacho amini acha mboyoyo hapa
 
Muhammad kawakata watu mikono na miguu, nimekuuliza uongo wa bukhari upo wapi apo?
Wewe vipi nimeshakuambia hio hoja Bukhari tengeneza Uzi ntakufurahisha huko hapa Ni Issah na Yesu ukitaka kumjua buhari tengeneza Uzi ntakupafunda tu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Weka andiko muhammad katahiriwa , la sivyo muhammad alikuwa govinda

andiko la abraham hili apa
Muhammad said "The Prophet) Abraham circumcised himself after he had passed the age of eighty years and he circumcised himself with an adze." Sahih al-Bukhari 6298
Muhammad aliamrishwa afate Mila za Ibrahim sasa Kama Ibrahim katahiriwa unategemea Muhammad afanye nn?

Quran 3:95 fuata Mila za ibrahim

quran 3:67 Ibrahim hakua myahud Wala mkristo alikua muislam

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio huna cha kuzungumza jadili hoja wakristo kwa waislamu wote wana madhehebu, wakristo kwa waislamu kuna vitu vya imani zao lakini wengine hawa kubaliana navyo, mfano Biblia ina vitabu 73 ambayo wanatumia Waroma, lakini waprotestant wao ni vitabu 66, kuna gape la vitabu 7 hapo, tafsiri ukimwambia mprotestant habari ya Makabayo anaweza kuona unaleta vitabu vya wahindu kumbe ni biblia hiyo, wewe lete hoja utajibiwa kadri ya mtu anacho amini acha mboyoyo hapa
Wewe siwezi kukuwekea andiko la bukhari, maana umeshapinga kitabu chake
 
Ukileta hoja yeyote ni lazima ulete andiko awe bukhari au Shaban Robert ni lazima useme umetoa wapi, hili ni jukwaa la wasomi sio wapiga debe
 
Muhammad aliamrishwa afate Mila za Ibrahim sasa Kama Ibrahim katahiriwa unategemea Muhammad afanye nn?

Quran 3:95 fuata Mila za ibrahim

quran 3:67 Ibrahim hakua myahud Wala mkristo alikua muislam

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Aliamrishwa akiwa mtu mzima na alikuwa govi, na apo kashapokea surah mbili za Koran

Sasa weka andiko akiwa mtu mzima katahiriwa au kajitahiri ata kwa sime , maana ametuambia Abraham alijitahiri kwa shoka

Nataka andiko sio bla bla kama hakuna acha abakie Govinda

andiko la abraham hili apa
Muhammad said "The Prophet) Abraham circumcised himself after he had passed the age of eighty years and he circumcised himself with an adze." Sahih al-Bukhari 6298
 
Ukileta hoja yeyote ni lazima ulete andiko awe bukhari au Shaban Robert ni lazima useme umetoa wapi, hili ni jukwaa la wasomi sio wapiga debe
Wewe uliomba nukuu ,na nukuu ipo kwenye kitabu ambacho hukiamini , sasa why wasting time
 
Kuamini au kutoamin hiyo sio kazi yako, wewe unapoleta hapa hoja ni lazima useme umeitoa wapi hilo si ombi ni lazima maana wewe ndio ulie leta hoja humu, kwahiyo unataka ulete hoja humu watu wasome halafu tukuache tu bila kuuliza ushahidi!!! Mzee hapa kuna watu wazima
 
Muhammad aliamrishwa afate Mila za Ibrahim sasa Kama Ibrahim katahiriwa unategemea Muhammad afanye nn?

Quran 3:95 fuata Mila za ibrahim

quran 3:67 Ibrahim hakua myahud Wala mkristo alikua muislam

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nini Ibrahimu Mwenyezi Mungu Ameamrisha Usizini na watu wanapuuza na kukurubia zina!
Halafu Muhammad hata allah anamkemea kwa uwongo!
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَا أَحَلَّ اللَّهُ لَكَ ۖ تَبْتَغِي مَرْضَاتَ أَزْوَاجِكَ ۚ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ

[ ATTAH'RIIM - 1 ]
Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Au alikuwa anampongeza??
Halafu ref!; kisa cha Safiya jee alisubiri edah yake kabla hajamuingilia kama alivyo agiza allah??
[emoji116][emoji116]
وَالَّذِينَ يُتَوَفَّوْنَ مِنكُمْ وَيَذَرُونَ أَزْوَاجًا يَتَرَبَّصْنَ بِأَنفُسِهِنَّ أَرْبَعَةَ أَشْهُرٍ وَعَشْرًا ۖ فَإِذَا بَلَغْنَ أَجَلَهُنَّ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا فَعَلْنَ فِي أَنفُسِهِنَّ بِالْمَعْرُوفِ ۗ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ خَبِيرٌ

[ AL - BAQARA - 234 ]
Na wale miongoni mwenu wanao kufa na wakaacha wake, hawa wake wangoje peke yao miezi mine na siku kumi. Na wanapo timiza eda yao basi hapana ubaya kwao kwa wanao jifanyia kwa mujibu wa ada. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.

Ingekuwa mimi ungeniita [emoji15][emoji12]
 
Aliamrishwa akiwa mtu mzima na alikuwa govi, na apo kashapokea surah mbili za Koran

Sasa weka andiko akiwa mtu mzima katahiriwa au kajitahiri ata kwa sime , maana ametuambia Abraham alijitahiri kwa shoka

Nataka andiko sio bla bla kama hakuna acha abakie Govinda

andiko la abraham hili apa
Muhammad said "The Prophet) Abraham circumcised himself after he had passed the age of eighty years and he circumcised himself with an adze." Sahih al-Bukhari 6298
Mimi nimekuwekea tu ujue Muhammad alikua na muongozo hakujifanyia Mambo kiholela alipata toka kwa watangulizi wake halafu ishu ya kutahiriwa au kutotahiriwa kwake haimo katka Quran nimeshakuambia huko juu usitegemee Aya halafu kitu ambacho Quran haijaandika wewe umetoa wapi? Narudia hakuna mtu wakuthibitisha Kama alifanyiwa sunna au la zaidi ya Quran au bi Aisha Kama angekuepo au mzee Abdullah mwenyew hivi wewe ukifa Nani atashuhudia ulikua nama vuzi miaka Mia ijayo?

Sis waislam tunafuata mafundisho hayo ya Ibrahim Kama Ibrahim alitahiriwa basi ni sunna muislam kutahiriwa maan Quran haijatuamrisha hivyo ila kwakua Ni Jambo zuri na Ibrahim alifanya basi nasisi tunafuata ata Yesu alifanya hivyo Ni jambo zuri

Ila wewe nithibitishie wapi Muhammad hakutairiwa

Urukaruka kama nyani , Muhammad alijua Abraham katahiriwa sababu alikuta andiko kwenye vitabu ,

Yeye hakutahiriwa ndio maana unaona hakuna andiko

Mr Govinda
 
halafu kitu ambacho Quran haijaandika wewe umetoa wapi?

Sis waislam tunafuata mafundisho hayo ya Ibrahim Kama Ibrahim alitahiriwa basi ni sunna muislam kutahiriwa maan Quran haijatuamrisha hivyo ila kwakua Ni Jambo zuri na Ibrahim alifanya basi nasisi tunafuata ata Yesu alifanya hivyo Ni jambo zuri
Unachanganyikiwa sasa tuliza akili
Unadai Koran haijaandika issue za Abraham katahiriwa na unaniuliza nimezitoa wapi ,

Apo apo unasema unafuata Mila za Abraham, kwamba alitahiriwa kwenye Koran umezisoma wapi akitahiriwa maana Kwa mujibu wako muongozo wako ni Koran only

Issue za Yesu kutahiriwa ni verse ya ngapi kwenye Koran ?
 
Muhammad aliamrishwa afate Mila za Ibrahim sasa Kama Ibrahim katahiriwa unategemea Muhammad afanye nn?

Quran 3:95 fuata Mila za ibrahim

quran 3:67 Ibrahim hakua myahud Wala mkristo alikua muislam

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Si uweke stori toka kitabu cha babu isemayo muhammad alitahiriwa toka tumbo mwa mama yake....
 
Ushahidi ni kutokuwepo kwa andiko linalosema muhammad alitahiriwa

Andiko la Ibrahim kujitahiri na shoka lipo , Muhammad hakutahiriwa alikuwa govinda

Muhammad said "The Prophet) Abraham circumcised himself after he had passed the age of eighty years and he circumcised himself with an adze." Sahih al-Bukhari 6298

Lete andiko Nani alimtahiri Yesu
 
Usione hatujui! Hilo jibu ndio ibn abd allah anapewa utume na Allah??
Soma hizo ayat utoke ndani ya box!
[emoji116][emoji116]

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا

[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Tuambie Nani alimtahiri Yesu?
 
Urukaruka kama nyani , Muhammad alijua Abraham katahiriwa sababu alikuta andiko kwenye vitabu ,

Yeye hakutahiriwa ndio maana unaona hakuna andiko

Mr Govinda

Andiko uliliandika wewe?

Tuambie Nani alimtahiri Yesu?
 
Back
Top Bottom