Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Hapana
Tukionana ndio utanipa!
kwa nini? si nimekwambia nnashida nayo sasa ivi?
Hapana
Tukionana ndio utanipa!
yaani ntakuvurumishia maswali kama pepa la necta. hivi wewe utajibu maswali yangu yote kweli? nna wasiwasi.
Huna sababu ya kuhofia moyo wangu kwakuwa mimi sina kawaida ya kudanganya
Nimekukubali kwa namna ulivyo hivyo huna haja ya kuhofia chochote kile
Uko salama ukiwa na mimi
Mipango utaijua baada ya kujua kama nakupenda kwelli!
too common, every lady I laid asked same question.
Lied to them, believed me, lay them, they chop I chop, palaver finish!
Eti alitaka tujadili katiba na muundo wake wakati bungeni huko hata wenyewe yamewashinda
Mungu anahusika na mambo ambayo yanamhusu yeyeSiwez kuwa salama mikononi mwako hapo umenidanganya tupo salama mikononi mwa Mungu..
Tafakar kama kweli husemi uongo na cha pili kama ungekuwa waweza kuvumilia kabla Yang ulikuwa na mtu ungemvumilia Mimi sio wa kwanza kwako
Nimeshakujibu hili na inaonekana unaogopa sana kutendwa la kizuri ni kuwa sijakutongoza ili nikutende bali nikupendeKubali mapenz ni kama maji ya moto hayakawii kupoa wewe upo radhi kwa chochote kwa maana wataka kujua kilichopo ndani Yang ila baada ya mda na kunijua hutokuwa na uvumilivu
Sababu zinaweza zisifike 10 lakini zikawa na uzito wa kutosha
Na pengine sababu moja tu inaweza kuridhisha na kutohitajika nyingine!
cc Karucee OLESAIDIMU lol
Nitakutumia kwa eateli mane au tigopesa au M-pesa
Nipe namba yako!!!!!!!!
Asee mtu unaezachepuka hivi hivi kimasihara....
Mimi tayari ni mama mwema wa watoto na napata penzi salama na la uhakika kwa niliyenaye.Ishu sio kufurahia michango yako bali nimeona unafaa kuwa mama mwema wa watoto na zaidi sana uhastahili penzi lililosalama na la uhakika kama ninalotaka kukupa!
Unaelekea wapi bibie?
Kwa muda gani?
Usinikimbie tafadhali!!!!