Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
hahahahahahha nimewaita wote wawili kuanzia leo mimi si miss kauzibe nina hekima hadi paroko amesalute lol
Nilijua ni Karucee OS
hahahahahahha nimewaita wote wawili kuanzia leo mimi si miss kauzibe nina hekima hadi paroko amesalute lol
Hofu lazima uwe nayo kwakuwa ninataka mahusiano na weweMimi Sina hofu na mtu ambaye hat ckujui...
I knowImani yako imekudanganya kwa maana naweza tu kukuacha kama huyo mwingine mapenz ni popote
Kama unanizungumzia mimi hilo kwangu halipoBdo unakimbia swali langu na siwez kuongea lolote had ntakapokuona may be sio type nayofikiria kwa maana suala LA kupenda muonekano unahusika
Nilijua ni Karucee OS
Ya nini tena?
Hako wala sikataki mke wangu
Hapa nipo nafanya ka research kadogo tu!
Paroko upo?
mke wangu hana tabia ya kususa!
Ni kitu gani kinakufanya usinipe zako mrembo?