To MMU ladies ....

To MMU ladies ....

Naomba nijue kwanni Mimi..
Kwasababu wewe ni ICHANA na hakuna kama wewe duniani
Je upo tayar kunipenda..
Nisingekuwa tayari nisingekutumia PM ya kukuomba unikabidhi moyo wako mrembo

Lakini zaidi sana kupenda ni sanaa yangu ambayo haijapata wa kupewa
Nadhani wewe ndie unastahili hili penzi murua na lililo la uhahika
.je utaweza kunivumilia
Kuvumilia ni jadi ya anaejua kupenda

Kwakuwa mimi najua kupenda basi na kuvumilia ni jambo linalowezekana kwangu kwa asilimia zote

Hebu nikabidhi penzi lako halafu utathibitisha hili!
 
Last edited by a moderator:
Wa nje na wewe wana kuna tofauti kubwa sana moja

Nayo ni kuwa wao hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kama wewe na uwezo huo nimeuona hapa kwa namna ambavyo unajibu hoja

Siwataki hao wa mtaani hata kama nazijua sura zao kwani mimi sioi sura bali naoa mwanamke ambae uwezo wake wa kufikiri upo juu kama wewe ili maisha yetu yawe mazuri!
mhhh acha zako
 
Back
Top Bottom